Kutokana na ucheleweshwaji wa uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na RITA, je bodi ya mkopo ya vyuo vikuu wataongeza mda au wale ambao wanasubiri kupata uhakiki wa vyeti wa fanyaje ikiwa deadline ya...
Naombeni msaada,
Hii course nimeona kwenye TCU guide book kama moja ya health related program lakn sijaona chuo kinachotoa Hii course mwaka huu. Je, hii course inahusika na ninin kwa anayejua?
Ana three ya 16 (Physics -E, Chemistry- S, A/maths- E. Je anaweza pata chuo cha kusoma Bachelor Degree?
Husika na mada tajwa hapo juu, nina mdogo wangu ana ufaulu tajwa hapo juu, je anaweza pata...
Wana jf naomba msaada kwa anaefahamu chuo chaafya kwa ngazi ya cheti course CLINICAL OFFICER.Gharama za course hiyo pia nisaidieni ntashukuru sana sana
Shikamoni wakubwa, polen na majukumu,
Mim mdogo wenu nimemaliza form six mwaka huu, nilikua nasoma PCB, nimepata ufaulu wa div2 pts 10 yan D-CHEMESTRY,C-BIOLOGY na C-PHYSCS.
Wakubwa zangu...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.... nina Shemeji yangu amemaliza Darasa la 7 mwaka huu.... tunajaribu kumtafutia shule ya kusoma kidato cha Kwanza mwakani..... Naombeni msaada kwa mwenye ufahamu
TCU wanataka PHY, CHM, BIO, B/MATH na ENG yote uwe na angalau alama D
Ila mimi Clinical Medicine diploma nna GPA -4.6
O_level
Phy-C
Chm-C
Bio-C
Eng-E
B/Math-F
Wadau habari,
Kuna ambaye ameshafanya application za kuomba chuo SUA mwaka huu wa masomo 2020/2021 mana kunachangamoto moja ambayo nimekutana nayo mimi baada ya kuomba SUA mwaka huu kwenye A/C...
THE UNIVERSITY OF DODOMA
OFFICE OF THE DEPUTY VICE CHANCELLOR
ACADEMIC RESEARCH AND CONSULTANCY
INVITATION TO APPLY FOR ADMISSION INTO UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC...
Juzi juzi niliandika haya baada ya kusoma tangazo la udahili la UDOM
Masiya
JF-Expert Member
Apr 2, 20126,6512,000
Monday at 1:27 PM
Add bookmark
#5
Kama umegundua kuwa UDOM wamefutilia mbali...
Tuna uhitaji na Mwalimu wa FOOD AND NUTRITION kwa O-Level. Shule ni ya Wasichana na ipo Mtwara manispaa. Kwa maelezo zaidi, naomba tuwasiliane: 0745737287
Ni kwa muda sasa umekuwepo unyanyapaaji mkubwa kwa watu wanaoshindwa masomo ya sekondari maarufu kama ''div zero''
wanaitwa kila majina ya hovyo kama wamezungusha vilaza na mambo ya ajabu ajabu...
Habari wana JF,
Ningependa kuuliza, mwanafunzi ambaye hakupata chuo mwaka 2019 ila sasa anaomba na anakutana na shida kuwa taari asha sajiiliwa inakuwaje je ndo mfumo wa sasa hivi na afanyaje...
Habari za leo wakuu wa Jamii Forum,
Nimatumaini yangu kuwa mnaendelea na harakati za kutafuta maisha ,nilikuwa naomba kama kuna mtu anafahamu chuo chochote mtu anaweza kusomea mambo haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.