TCU yabadili baadhi ya vigezo kwa mwaka 2020 kwa baadhi ya kozi

remedy50

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
676
285
Hizi apa guidebook mpya kutoka TCU download uangalie vigezo vya kujiunga na kila fani

Ukiwa una swali lolote lile unaweza kuuliza.
 
Attachments

  • Final Draft 2020.21_ Direct Applicants (F6) Guidebook 15.07.2020.pdf
    1.9 MB · Views: 168
Haya wale wenye bando mkifungua.. Mtuambie kozi mama za SUA ziko vipi kwa ufaulu wa 6 na diploma..
 
Ardhii University imebadilika Amna Tena umuhimu wa BAM ni Advance mathematics na physics O-level na mathematics ya O-level tofaut na mwaka Jana kbx
 
Habarini wana JF,

Husikeni na mada tajwa hapo juu, kiukweli nimeipitia guide book ya mwaka huu 2020/2021 nikagundua mabadiliko mengi ya vigezo vya cut point za kusomea kozi za afya ukilinganisha na miaka iliyopita 2019 kurudi nyuma.

Kwa upande wa form six holders ipo hivi:
  • Kozi ya medical doctor kwa sasa imeshushwa na kuwa point 6 (with minimum of D in chemistry) ambapo mwaka jana ilikuwa point 8.0 (with minimum of C in chemistry)
  • Kozi ya veterinary medicine imepandishwa na kuwa point 4.5 ambapo mwaka jana ilikuwa 4.0
  • Kozi ya biotechnology and laboratory science ya pale sua imepanda na kuwa 4.5 kutoka4.0
Kwa upande wa diploma holders wanaotaka kuapply wanaotaka kuapply kozi za afya wamepewa bata kubwa sana yani vigezo vya GPA vimeshuka kutoka GPA ya 3.5 hadi gpa ya 3.0 kwa kozi zote za afya.

Tupeane mawazo wakuu imekaaje hii na je ni vitu gan vingine au kozi gan nyingine zilizoshushiwa au kuongezewa point. Hapo chini ni TCU guide books za form six holders na diploma holders kwa mwaka wa masomo 2020/202.

NawasilishwaView attachment AJIRALEO.COM_FORM SIX GUIDEBOOK.pdfView attachment AJIRALEO.COM_DIPLOMA TCU GUIDE BOOK.pdf
 
Wale wote wanaotaka kuomba mkopo (HESLB) Na wanaotaka kuomba vyuo mbali mbali.
- Nipo kuwasaidia wale wote wenye uhitaji wa ku apply mkopo na chuo. Au kuwaongoza hatua baada ya hatua jinsi ya ku apply.
- Vyote hivyo kuanzia mwanzo mpaka kukamilika nakufanyia kwa bei poa ya elfu tano tu (5,000/= tu)
- Huku nikikupatia na username pamoja na password zako kujihakikishia nilichofany na kuangalia account yko pale itakapohitajika.
- Huduma hii ni kwa wote/popote ulipo ndani ya Tanzania hii. Kila kitu kitaenda sawa. Maan nimepata maswali mengi kwa walio mikoani.
- Nitafute whatsapp au sms za kawaida kupitia namba hizi 0734131743.
- Vitu vyote vinavyohitajika wakati wa uombaji mkopo na chuo nitakueleza ukinitafuta kupitia namba izo apo.
NYOTE MNAKARIBISHWA
 
Tatizo ni UDSM wao kwà Diploma lazima uwe na GPA 3.5 tena wamebold kabisa ili usiseme hukuona!!!

Hata kwenye kazi unaweza tangaziwa GPA ya 3.5 ila competition ikiwa kubwa usishangae wakapandisha hata 3.8 kupunguza watu kwenye mchujo..
 
kwa afya wamezingua sana ,o level angalau wangeweka minimum qualifications ingekuwa grade C ' sasa mtu anaenda doctor of medicine kwa alama D' o level? serious? ??
Na clinical medicine GPA wangeacha ile ile 3.5

NB:Mtu kafeli kidato cha nne halafu anaenda kuwa daktari wa binadamu ..kazi kweli kweli,
 
YAN HII SERIKALI INALETA SIASA KWENYE MAMBO YA MAANA, APA KUNA MAWILI NI EITHER PERFORMANCE YA 6 SIO NZURI AU ISHU YAKURA,,, FROM 2016-2019 KWENDA MD ILIKUA LAZIMA UWE NA DCC YAN PHYSICS D, CHEMISTRY C NA BIOS C , BUT NOW DDD[/QUOTE]
 
kwa afya wamezingua sana ,o level angalau wangeweka minimum qualifications ingekuwa grade C ' sasa mtu anaenda doctor of medicine kwa alama D' o level? serious? ??
Na clinical medicine GPA wangeacha ile ile 3.5

NB:Mtu kafeli kidato cha nne halafu anaenda kuwa daktari wa binadamu ..kazi kweli kweli,
Kwani walioweka D ni pass unawaona hawana akili.?
Kwanza hzo ni minimum points tu ila naamini kutokana na ushindani wengi watachukuliwa wenye ufaulu mzur zaidi na GPA kali
 
kwa afya wamezingua sana ,o level angalau wangeweka minimum qualifications ingekuwa grade C ' sasa mtu anaenda doctor of medicine kwa alama D' o level? serious? ??
Na clinical medicine GPA wangeacha ile ile 3.5

NB:Mtu kafeli kidato cha nne halafu anaenda kuwa daktari wa binadamu ..kazi kweli kweli,
kufeli kidato cha nne haina maana kwamba um'bovu kichwani..
kuna madaktari wazuri tu hawakupita A level

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia ni
Habarini wana JF,

Husikeni na mada tajwa hapo juu, kiukweli nimeipitia guide book ya mwaka huu 2020/2021 nikagundua mabadiliko mengi ya vigezo vya cut point za kusomea kozi za afya ukilinganisha na miaka iliyopita 2019 kurudi nyuma.

Kwa upande wa form six holders ipo hivi:
  • Kozi ya medical doctor kwa sasa imeshushwa na kuwa point 6 (with minimum of D in chemistry) ambapo mwaka jana ilikuwa point 8.0 (with minimum of C in chemistry)
  • Kozi ya veterinary medicine imepandishwa na kuwa point 4.5 ambapo mwaka jana ilikuwa 4.0
  • Kozi ya biotechnology and laboratory science ya pale sua imepanda na kuwa 4.5 kutoka4.0
Kwa upande wa diploma holders wanaotaka kuapply wanaotaka kuapply kozi za afya wamepewa bata kubwa sana yani vigezo vya GPA vimeshuka kutoka GPA ya 3.5 hadi gpa ya 3.0 kwa kozi zote za afya.

Tupeane mawazo wakuu imekaaje hii na je ni vitu gan vingine au kozi gan nyingine zilizoshushiwa au kuongezewa point. Hapo chini ni TCU guide books za form six holders na diploma holders kwa mwaka wa masomo 2020/202.

NawasilishwaView attachment 1512466View attachment 1512467
Mimi pia nilizoona zimeshuka ni Doctor of Medicine na Bachelor of Pharmacy vigezo ni kuwa na D in PCB.
KOZI yenye point nyingi ni bachelor of biomedical engineering point 8(three principal passes in advanced maths,physics and chemistry)
Nyingine ni kawaida tu kama miaka mingine
 
Back
Top Bottom