Naomba msaada kujifunza ufundi simu sina kazi nipo tu nyumbani.

Naja naja

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
747
1,452
Naombeni msaada mafundi simu mnisaidie nijifunze na mimi ufundi hata nikienda chuo nisikose mia mbili mia tatu za ufundi.

Kwa sasa nipo tu nyumbani sina kazi, sina kibarua chochote licha ya kuhangaika sana.

Kuna sehemu nilienda kuomba kujifunza na wapo well organized waliniambia gharama ni shilingi laki mbili na nusu kwa course nzima ambayo itachukua miezi miwili mpaka miwili na nusu.

Changamoto ni kwamba sina hicho kiasi , kwa hiyo suluhisho pekee nimeona nijaribu kwa mafundi simu wa huku wanipe msaada wakubali kunifundisha ufundi simu ili niweze kujiajiri huko mbeleni.
 
Pole na hongera kwa kuamua kujitoa kupata maarifa, mimi nilijifunza computer and phone repair kwa kutumia internet tu. sikukaa kufundishwa na mtu na sasa najua sio najisifu najua kweli both software na hardware za simu na laptop
NINGEKUCHUKUA ILA
1. VIJANA SIO WAAMINIFU NIMEPIGWA SANA
2. NINA LIST BADO YA WATU WENGINE WANAHITAJI KULA SHULE

USHAURI,
Hakuna Mwalimu Mzuri Kama Google Na Youtube Watumie Hao
Pia Unaweza Pitia Hili Bandiko Langu Ukafunguka Akili Kidogo
 
Sawa
 
Najaribu sana kusoma Uzi wako lakini sielewi pa kuanzia
 
Nenda dit io kozi ipo...afu pia ingia google na youtube kila kitu kipo...jichanganye mtaani pia kwa haohao mafundi simu watakuelekeza fresh wakijua we ni mwanao
 
Naombeni msaada mafundi simu mnisaidie nijifunze na mimi ufundi hata nikienda chuo nisikose mia mbili mia tatu za ufundi.

Kwa sasa nipo tu nyumbani sina kazi, sina kibarua chochote licha ya kuhangaika sana.

Kuna sehemu nilienda kuomba kujifunza na wapo well organized waliniambia gharama ni shilingi laki mbili na nusu kwa course nzima ambayo itachukua miezi miwili mpaka miwili na nusu.

Changamoto ni kwamba sina hicho kiasi , kwa hiyo suluhisho pekee nimeona nijaribu kwa mafundi simu wa huku wanipe msaada wakubali kunifundisha ufundi simu ili niweze kujiajiri huko mbeleni.
manengenelo hakukupa msada?
 
Back
Top Bottom