Wildlife Management ni nini?

Atomicflea

New Member
Aug 27, 2020
3
0
Naamini mu wazima wa afya. Nlikuwa naomba msaada wa utofauti kati ya Wildlife Management na Tourism Management. Naona ni course tofauti zipo SUA ila sijazielewa.

Karibuni sana
 
Wildlife Management- inahusu jinsi na namna ya kumanage wanyama pori kama wanyama pori wakiwa porini (mbuga za wanyama) au wanyama pori ambao tumewakamata na tuna wafuga (kwa mfano nyoka, mamba, antelopes etc) kibiashara, kuna zoo animals etc. Tourism ni kuhusu vivutio vyetu vya kitaifa, ni jinsi gani tutavi manage vituingizie mapato kutoka kwa watalii pamoja na jinsi ya kuwavutia hao watalii. Kivutio chetu kimojawapo ni wanyama pori na hapo utaona Wildlife Management inavyo ingiliana na Tourism. Course ya Wildlife Management inaendana na science ya biologia zaidi na Tourism inaendana na social sciences.
 
shukran mkuu... Nimepata uelewa mkubw juu ya hilo
 
Back
Top Bottom