Kwa yeyote aliyesoma au anafanya mitihan ya CPB

meezy

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
683
1,187
Naulzia mtu yeyote aliefanya au anaefanya mitihani ya bodi ya tiob
 
Nenda ghorofa ya kumi jengo la kitega uchumi.. Ila kwa sasa sijui kama utawahi maana mitihani huwa ni mwezi wa tano...
 
Ndugu zangu, kwa yeyote mwenye Softcopies za vitabu vya CPB level 1&2 naomba anisaidie.

Baraka ziwe nanyi.
 
Back
Top Bottom