Kuhusu kuishia Diploma 1 tu

Kuhusu kuishia Diploma 1 tu

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,167
Reaction score
2,612
Habari zenu wadau wa Elimu

I hope mko poa, mimi ni mtu ambaye nimesoma Certificate (Astashahada/Cheti) katika moja ya vyuo vikubwa 2 hapa nchini, lakini pia nimefanikiwa kusoma Stashahada(Diploma1)maana Diploma huwa ni miaka miwili, yaani kuna Diploma 1 na Diloma 2 then ndo unaruhusiwa kuendelea na Shahada(Bachelor Degree).

Sasa Mimi nimewaza hivi; ukiamua Kuishia2 Diploma 1 ukaacha kumalizia Diploma 2 inakuaje? Hupati cheti cha Diploma? Na labda ukiamua kukaa hata miaka miwili mitatu unapiga mishe zako town then ukaamua kurudi chuo sasa kuendelea na Diploma 2, je utaruhusiwa na ni utaratibu gani utaufata ili kuendelea Diploma 2?

Karibuni wadau.

Wasalaam

@NgarenaroBoy.
 
Inategemeana na chuo na utaratibu wake ulivyo kwenye swala la kupata cheti, kuna vyuo hutoa vyeti kila unapovuka level ukiomba cheti chako.

vilevile swala la kuendelea na mishe mtaani then uje umalizie kuskuli hilo ni kawaida kikubwa ni kutoa taarifa Chuoni ili usijeonekana Kama Disco student
 
Shukrani sana bro..ila kuhusu chuo nimefatilia hiki chuo hakijawahi kutoa cheti kwa Diploma1 yaani hadi umalize Diploma 2

Basi hapo ni aidha kukubali kumalizia mwaka then uingie mtaani mazima au uingie mtaani then urudi kumalizia, ila Kama hauna inshu ya maana mtaani malizia kitabu mkuu mwaka mmoja sio kitu aisee!!
 
Habari zenu wadau wa Elimu

I hope mko poa, mimi ni mtu ambaye nimesoma Certificate (Astashahada/Cheti) katika moja ya vyuo vikubwa 2 hapa nchini, lakini pia nimefanikiwa kusoma Stashahada(Diploma1)maana Diploma huwa ni miaka miwili, yaani kuna Diploma 1 na Diloma 2 then ndo unaruhusiwa kuendelea na Shahada(Bachelor Degree).

Sasa Mimi nimewaza hivi; ukiamua Kuishia2 Diploma 1 ukaacha kumalizia Diploma 2 inakuaje? Hupati cheti cha Diploma? Na labda ukiamua kukaa hata miaka miwili mitatu unapiga mishe zako town then ukaamua kurudi chuo sasa kuendelea na Diploma 2, je utaruhusiwa na ni utaratibu gani utaufata ili kuendelea Diploma 2?

Karibuni wadau.

Wasalaam

@NgarenaroBoy.
Yaani wasomi wetu kazi hipo! Yaani hujui forum sahihi ya kuuliza hayo maswali yako?
 
Mkuu mbona nimei'post hapa jukwaa la Elimu au ningepost jukwaa lipi?
Yaani wasomi wetu kazi hipo! Yaani hujui forum sahihi ya kuuliza hayo maswali yako?
 
Basi hapo ni aidha kukubali kumalizia mwaka then uingie mtaani mazima au uingie mtaani then urudi kumalizia, ila Kama hauna inshu ya maana mtaani malizia kitabu mkuu mwaka mmoja sio kitu aisee!!
Sio kwamba nimependa kuahirisha mkuu,,kuna changamoto imenilazimu
 
Mkuu mbona nimei'post hapa jukwaa la Elimu au ningepost jukwaa lipi?
Kumbe shida ni neno 'forum' ! Ni hivi huko chuoni kwenu hamna dean of students? Hamna coordinator ? Hamna afisa/ofisi iloyo incharge na academics? Hizo taarifa hazipo kwenye prospectus yenu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom