Idadi ya wanafunzi chuo cha DIT kinaweza kubeba

G-stev

Member
Aug 24, 2020
7
1
Wakuu samahan, nataka kujua kwa mtu anayeelewa zaid kuhusu hiki chuo cha DIT anambie ni wanafunzi wangap wa mechanical engineering hiki chuo kinaweza kubeba?
 
Kama una sifa omba.

Ila uwe na udaulu mzuri kidogo. Angalau above 2 ya 10.
Mkuu mm nina DDE ya PCB Kwahio nimeona tu bora niende diploma ya mechanical engineering sasa nimeuliza ili niwe na uhakika wakupata kuchaguliwa endapo nikiapply maana dirisha walifungua toka june sasa uskute labda hadi saiv washaa jaa nafac zikawa hamna japo nina vigezo vya hiyo kozi ya diploma. Nina C ya phyz,,C ya chemistry na C ya math kwenye cheti cha form four..
 
Mkuu mm nina DDE ya PCB Kwahio nimeona tu bora niende diploma ya mechanical engineering sasa nimeuliza ili niwe na uhakika wakupata kuchaguliwa endapo nikiapply maana dirisha walifungua toka june sasa uskute labda hadi saiv washaa jaa nafac zikawa hamna japo nina vigezo vya hiyo kozi ya diploma. Nina C ya phyz,,C ya chemistry na B ya Biology kwenye cheti cha form four..
Nilijua, unazungumzia degree.

Hapo sina msaada.
 
Kama ufaul wako ni mzr olevel utapata..... Bt kama una uvivu wa kusoma masomo ya maelezo just try ATC o MUST! modules ni nyngi san DIT panahtaj uwe na bdii ni hayo tu
 
Kama ufaul wako ni mzr olevel utapata..... Bt kama una uvivu wa kusoma masomo ya maelezo just try ATC o MUST! modules ni nyngi san DIT panahtaj uwe na bdii ni hayo tu
O level nina C phyz C math ma C chemistry.. kwaio nitapata nikiapply?
 
Back
Top Bottom