Msaada kuhusu degree courses za CBG

Msaada kuhusu degree courses za CBG

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
643
Reaction score
576
Habarini wana JamiiForums,

Nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna mtu miaka ya hivi karibuni amechaguliwa kusoma Nursing au Pharmacy kwa ngazi ya degree na alisoma CBG.
 
Pharmacy bila physics husomi...!!! CBG siku hizi comb ya ovyoo mzee utaishia kwenda kusomea kutibu Mbuziii
 
Ni science tena ngumu sanaa ila mleta madaa hana interest na wanyamaaa... Anataka adili na binadamu
Kama lengo lake ni binadamu inabidi achukue degree ya Biology,baada ya hapo arudi tena kwenye lengo lake muhimu tu awe na lower second.
 
Kama lengo lake ni binadamu inabidi achukue degree ya Biology,baada ya hapo arudi tena kwenye lengo lake muhimu tu awe na lower second.
Degree ya kemia haiendani na pharmacy wala MD?
 
Degree ya kemia haiendani na pharmacy wala MD?
Wakishafungua maombi ya vyuo hebu jaribu kutembelea mabanda yao ya vyuo husika wakupe mwanga, kama upo mkoani tembelea maonyesho ya nane nane huwa wanakuwa na mabanda pia
 
Wakishafungua maombi ya vyuo hebu jaribu kutembelea mabanda yao ya vyuo husika wakupe mwanga, kama upo mkoani tembelea maonyesho ya nane nane huwa wanakuwa na mabanda pia
Poa ndugu
 
Sifa ya kusoma vertariany(animal doctor anatakiwa amepata alama gani form six?
 
Nursing na pharmacy ni PCB tu sikuiz lbd kama imebadilishwa tena this year
 
TCU washatoa Guidebooks za 2020/2021 itapendeza zaidi ukiingia kwenye website yao uipakue, halafu pitia kozi moja baada ya nyingine ujue ipi itakufaa ukilinganisha na ufaulu wako!
 
Back
Top Bottom