Tupia kisa chako kilichokua kinakuudhi kipindi upo high school
Cha kwangu kilichokua kinaniudhi ni ile tabia ya baadhi ya wanafunzi maarufu kama wasongo kujua ratiba zote za shule kubwa kubwa mf...
Jamani wana jf naomben msaada wenu nimechoka kukaa nyumbani hvi ni lin zitatoka second selection za form five
Mwaka jana zilitoka 23rd aug...xx mwaka uuh naona kmya mno xx cjui imekuaje make...
Mimi tangu nianze kuomba misaada ya kielimu humu ndani sijawahi kusaidiwa hata kidogo mfano kuna siku niliomba mwenyewe ana Link ya vitabu vya CPA mpaka Leo kimya na members wapo tuu pia niliomba...
Ndugu walimu wenzangu, kutoka pembe mbalimbali za nchi hii. Ninakuja kwenu kwa unyenyekevu nikiomba kwa mwenye papers za masomo yafuatayo, Basic Mathematics, Physics, Chemistry, Biology...
Habari zenu wakuu? ...
Huu ni wakati ambapo vyuo vikuu vingi vimeanza kupokea maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali, na baadhi ya watu wanapata shida jinsi gani wanaweza kuomba vyuo wanavyotaka...
Wakuu,
Leo katika pita pita zangu kwenye mitandao nimevutiwa na taarifa ya rubani mwenye umri mdogo kabisa Tanzania kurusha Boing ambaye ana miaka 21.Na mimi nimeshawishika kuwekeza kwa mtoto...
Wakuu habari!?
Naomba msaada katika ujazaji wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu.
Nimejaza vipengele vyote lakini nimekwama katika hatua za mwisho kwenye Declarations and Signature.
Sehemu...
Wana JF nawaombeni msaada mnielekeze.
Mwaka huu nlikua na malengo ya kusomea Bs in Geoinformatic ya Ardhi University ambayo mara nyingi inatolewa miaka minne lakini mwaka huu 2020/2021 nimeona...
Habari wakuu,
Naomba ufafanuzi kuhusu kozi hizi:
Bachelor of Science in Food Science and Technology
Bachelor of Science in Applied Microbiology and Chemistry
Bachelor of Science in Molecular...
Habari za mchana wakuu,
Kuna ndugu yangu alipata GPA ya 2.5 kwenye course ya education. Sasa anataka kusoma masters but open walimwambia lazima awe na GPA 2.7, sasa anauliza afanye nini ili asome...
Wadua habari. Kuna platforms ya kutoa/kupata elimu juu ya mambo mbalimbali.
Unaweza kutoa au kupata elimu hiyo free au kwa kulipia. Kama wewe ndio unatoa elimu kwa kulipia, wadau watakaosoma...
Habarini wakuu natumaini ni wazima,
Naomba nipewe maelekezo hapo kwenye requirements za TCU na Mzumbe university. Picha ya kwanza ni from TCU na ya pili from Mzumbe wametofautiana katika maelezo.
Mwezi mmoja uliopita TAMISEMI waliagiza wakuu wa shule sehemu mbali mbali watume majina ya walimu wanaojitolea; katika tangazo lao hawakubainisha kwa ajili ya nini, lakini LOGIC ikawa ni hitaji la...