Naomba msaada katika ujazaji wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu

Nonji

Member
Nov 22, 2017
21
45
Wakuu habari!?

Naomba msaada katika ujazaji wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu.

Nimejaza vipengele vyote lakini nimekwama katika hatua za mwisho kwenye Declarations and Signature.

Sehemu hizi:-

1. Attach page 2 of your Application form-After being signed and athourised by applicant, Commissioner of paths and Local Government leaders

2. Attach Page five (5) of your Application form after attestation

Swali langu ni je hizo pages (2& 5) natoa wapi?

Naamini nitajibiwa vema.
 
mwakajingatky

JF-Expert Member
May 30, 2018
552
1,000
Baada ya kumaliza kujaza online si uliprint?, kwenye karatasi zile ulizoprint angalia pg 2 na 5 kunasehemu pia za kusaini

Jaribu kujumuika na wenzako...kwani ulimaliza shule pekeako au unaapply tuu mkopo kipekeako pekeako,jaribu kushilikiana na wenzako kujua zaidi...
 
Nonji

Member
Nov 22, 2017
21
45
Baada ya kumaliza kujaza online si uliprint?, kwenye karatasi zile ulizoprint angalia pg 2 5.
Baada ya kumaliza kujaza online si uliprint?, kwenye karatasi zile ulizoprint angalia pg 2 na 5 kunasehemu pia za kusaini

Jaribu kujumuika na wenzako...kwani ulimaliza shule pekeako au unaapply tuu mkopo kipekeako pekeako,jaribu kushilikiana na wenzako kujua zaidi...
na 5 kunasehemu pia za kusaini

Jaribu kujumuika na wenzako...kwani ulimaliza shule pekeako au unaapply tuu mkopo kipekeako pekeako,jaribu kushilikiana na wenzako kujua zaidi...
Asante Mkuu. Mimi namjazia mdogo wangu kwasababu yupo JKT kwa mjibu wa sheria na hii kazi nafanyia ofisini simfahamu mwanafunzi hata moja mtaani. Mimi sijaprint bado niliogopa maana ilikuwa inatoa alert kwamba ukiprint huwezi tena kufanya marekebisho yoyote!

Je hakuna kosa nikiprint? Maana nimejaza hadi kipengele namba 10 ndo sehemu inayohitaji hizo attachments

Msaada tafadhali wakuu!
 
mwakajingatky

JF-Expert Member
May 30, 2018
552
1,000
Hakikisha kama taarifa ni sahihi..kama ni sahihi print..thwn itapelekwa kwa ofisi ya mtaa kwaajili ya kusaini na mihuli,then kwa mawakili,then utascan na kuappload page namba 2 na 5,
 
Nonji

Member
Nov 22, 2017
21
45
Hakikisha kama taarifa ni sahihi..kama ni sahihi print..thwn itapelekwa kwa ofisi ya mtaa kwaajili ya kusaini na mihuli,then kwa mawakili,then utascan na kuappload page namba 2 na 5,
Thanks mkuu. Kuna tatizo pia nimelinote! Kitambulisho cha mama ambaye nimemuweka kama mdhamini jina la mwisho kwenye kitambulisho cha kura limetofautiana na jina la mwisho kwenye cheti cha mtoto yaani jina la mama yake!! Wakuu hapa kutakuwa na madhara?
 
Hapana sizani kama kunatatizo...
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,056
2,000
Hakikisha kama taarifa ni sahihi..kama ni sahihi print..thwn itapelekwa kwa ofisi ya mtaa kwaajili ya kusaini na mihuli,then kwa mawakili,then utascan na kuappload page namba 2 na 5,
Mkuu, kwa watu wa diploma hizi documents za Barua ya udhamini wa masomo yangu ya diploma na transcript ya matokeo yangu naviweka wapi..?
Au vinatumika tu kwenye kutuma kwa EMS..?
 
Mar 27, 2014
83
195

wakati unajaza huwa kuna maswali unaulizwa ulifadhiliwa elimu ya kidato cha nne, diploma au form six, kama ukisema ndio inafunguka sehemu ya kuattach barua ya taasisi iliyokufadhili masomo
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,056
2,000
wakati unajaza huwa kuna maswali unaulizwa ulifadhiliwa elimu ya kidato cha nne, diploma au form six, kama ukisema ndio inafunguka sehemu ya kuattach barua ya taasisi iliyokufadhili masomo
Yaah, hapo sawa. Kuhusu Transcript au cheti cha diploma napo itaniuliza na kunitaka ni-upload pia..?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom