Mock Form Four 2020 Papers

Graph Theory

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,800
2,000
Ndugu walimu wenzangu, kutoka pembe mbalimbali za nchi hii. Ninakuja kwenu kwa unyenyekevu nikiomba kwa mwenye papers za masomo yafuatayo, Basic Mathematics, Physics, Chemistry, Biology, Kiswahili, English, History na Geography kwa mikoa mbalimbali, ashirikishe katika jukwaa hili.

Hii yote ikiwa kwa lengo la kuinua ufaulu wa vijana wetu, maana mkusanyiko wa papers hizo hapa jukwaani, utasaidia katika suala zima la kuwanoa vijana wetu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Ndimi mwalimu wa Civics na mtaaluma katika shule Fulani ya kata hapa nchini Tanzania.
 

Graph Theory

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,800
2,000
Kwa wale wenye papers na wakataka ku-share, lakini ukubwa wa PDF ukawa haukidhi kuwa attached hapa JF(MB Ni zaidi ya zinazotakiwa). Fanya ifuatavyo.

Nenda Google play store, search app ifuatavyo.

Screenshot_20200901-092130~2.png


Ukishapata app hiyo, utabafilisha ukubwa wa file lako kwenda size uitakayo, na Kisha share nasi.

Hivyo basi, katika uzi huu, yasiwepo masuala ya file kubwa halitaki kuwa attached hapa JF, nipe namba ya WhatsApp nikutumie.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom