Msaada wa Chuo Huria cha Udaktari

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Naomba kuuliza kuna Chuo chochote Huria cha Udaktari maana. Matoke yangu mimi n kama ifuatavyo CHEM C BIOS C PHY S MSAADA JAMAN
 
Siku moja Chuo Kikuu mashuhuri sana Afrika, Idara ya Afya ya Jamii, kiliamua kuanzisha kozi ya afya ya jamii. Watu wengi wahafidhina wakaanza kuulizana, hivi inawezekana kusoma kozi ya afya kwa mtandao?

Wenye kozi wakaamua kutoa mafunzo kwa mtandao, lakini mitihani wanafunzi wote wafanye pamoja darasani.

Wale waliosoma mtandaoni waliwabiti parefu waliosoma darasani.

Mpaka tunapoenda mitamboni kozi ile iliendelea kuwapo.

Moral of the story: MD mtu anaweza kusoma mtandaoni, sehemu ya mafunzo kwa vitendo akarudi kwenye mbinu za kawaida.
 
Kiongozi nakubaliana nawe, lakin MD course online unishawishi kabisa surgery practical nitafany wapi??
tuchukulie mfano wa kawaida Mimi labd nafundisha shule fulan then nikaona so vibaya Kama nikajiendeleza nikawa MD let say be4 ujaenda education degree, ulikuwa na ndot za kuja kuwa daktar. Lakin uchumi wa kifamilia ukakukatishaz so ukaamua kwend kusoma bacherol of science in chemistry baad y kumaliza chuo ukaajiriwa pravet schools let say FEZA scholls then mshahara ukawa mzur ukaamua ngoja niende nikatimize ndoto zangu. Ndo unakutana na hayo Mambo MD online je utasoma? Na ukifikiria MD kibongo na kidunia miak 5 had 6 Ina range hap Kati.
Madhara; a lot of money u will be costed in making internet bundles pili utatumia muda mwing kusom theory kuliko practicals tatu unawez ht ku risk pesa zako za tution fees
 
Back
Top Bottom