Natafuta sehemu ya kufanya Field Dar es Salaam

muneera75

Senior Member
Oct 12, 2019
190
318
Jamani naomba kujuzwa kuhusu sehemu za field hapa Dar es salaam. Ofisi mnazozijua mtu anaweza kupeleka barua ya field. Faculty ya HRM.
 
Huyu jamaa ni kiboko, anasoma kozi zote zilizopo katika faculty kwa wakati mmoja na anataka kuzifanyia field pia kwa wakati mmoja. Salute kwake.
Sidhani kama umemuelewa mwenzako! Alisema faculty ya HRM akimaanisha Course anayosoma ni Human Resource Management. Ndio maana akajibiwa anaweza akatuma maombi sehemu yoyote yenye watumishi.
 
Sidhani kama umemuelewa mwenzako! Alisema faculty ya HRM akimaanisha Course anayosoma ni Human Resource Management. Ndio maana akajibiwa anaweza akatuma maombi sehemu yoyote yenye watumishi.
Angesema kozi na sio faculty. Wewe unaweza soma hiyo faculty ya HRM??
 
Back
Top Bottom