Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

Mimi nilikuwa na mabifu na walimu kisa nilkuwa na dem mkali shule nzima wanamtolea macho. Walimu waliokuwa wanamtaka walinichukia kiasi kuwa nikipita tu hata mbele ya office wanafungua file langu nakuanza kujadili.

Nakumbuka ilifikia hatua classmates wangu wakitaka kudodge clac, wahakikishe kwanza kama mimi sija dodge. Maana nilikuwa nikidodge tu lazima nitaftwe. Na wakinikosa wanamtafta GF wangu. Wakimkosa wanajua tupo wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna albino moja wa CBG alikuwa anavuta bangi hatari halafu fujo nyingi,kila Toleo ya simu ya Motorola anayo,tangu afike hadi amalize shule hajawahi kununua uniform ,anavaa yoyote atakayokuta kwenye kamba za kuanikia nguo
 
Mi ambacho kiliniboa ni uchafu wa vyoo yaani kabla hujaingia chooni lazima nguo uvue nje utundike juu ya mti😁 wadau walitembea na nguo nikatoka uchi,nikajifunza kusoma mpaka usiku na kujisaidia usiku wa manane😁😁
 
Back
Top Bottom