Tofauti ya kozi ya Geoinformatic na Geographical Information System with Remote Sensing ni ipi?

Joined
Jul 11, 2020
Posts
9
Reaction score
4
Wana JF nawaombeni msaada mnielekeze.

Mwaka huu nlikua na malengo ya kusomea Bs in Geoinformatic ya Ardhi University ambayo mara nyingi inatolewa miaka minne lakini mwaka huu 2020/2021 nimeona Guide book la TCU lilotoka mwez huu Julai linaelezea ya kwamba ARU hamna Geoinformatic kuna Geographical Information System with Remote Sensing, tena ni miaka mitatu.

Naomba mnijuze hivi kuna tofauti gn kweny kozi hizi mbili.
 
Pana subtle differences. Nafikiri Ardhi University walipitia upya mitaala yao, ikiwemo kubadilisha majina ya baadhi ya kozi. Kama unapenda Geoinformatics, ndio mulemule tu na GIS pamoja na Remote Sensing. Jitose mkuu. Umepunguziwa mwaka. What is not to like?
 
Hiyo ya miaka minne zamani ilikua inaitwa quantity survey, ina deal na ujenzi plus ukadiriaji wa gharama za ujenzi. Engineer akimaliza design anampa QS aandae bei kulongana hali ya soko.

Mind you hizo ni kozi mbili tofauti kabisa.

Na mtu wa geomatic anaeza badae akafanya kazi za mtu wa GIS ila mtu GIS hawezi fanya kazi za mtu geomatic..

Nakushauri ukasome hiyo kozi ya miaka minne.
 
Nadhani hiyo ya miaka minne zamani iliitwa GEOINFORMATICS ila kwa sasa ndo imekuwa GIS with remote sensing kwa miaka mitatu.
 
Pana subtle differences. Nafikiri Ardhi University walipitia upya mitaala yao, ikiwemo kubadilisha majina ya baadhi ya kozi. Kama unapenda Geoinformatics, ndio mulemule tu na GIS pamoja na Remote Sensing. Jitose mkuu. Umepunguziwa mwaka. What is not to like?
Asant mkuu
 
Hiyo ya miaka minne zamani ilikua inaitwa quantity survey, ina deal na ujenzi plus ukadiriaji wa gharama za ujenzi. Engineer akimaliza design anampa QS aandae bei kulongana hali ya soko.

Mind you hizo ni kozi mbili tofauti kabisa.

Na mtu wa geomatic anaeza badae akafanya kazi za mtu wa GIS ila mtu GIS hawezi fanya kazi za mtu geomatic..

Nakushauri ukasome hiyo kozi ya miaka minne.
Geomatic anawez fany kazi za GIS na GIS hawez fany kazi za geomatic kvp mkuu
 
Hakuna Course inayoitwa Quantity Surveying hapo Ardhi University wala haijawai kuwepo
 
Geomatic anawez fany kazi za GIS na GIS hawez fany kazi za geomatic kvp mkuu
Geomaticians (Surveyors) au wasaka-nyoka, kama wajulikanavyo mitaani, huwa wanajifunza kutumia vifaa vya kupima dunia kwa usahihi mkubwa sana (milimita, au pungufu). Wanajifunza pia hesabu ngumungumu, fizikia, astronomia. Yote hayo kuwawezesha kupima dunia au kipande cha dunia kwa usahihi mkubwa. Kadhalika, wanajifunza kuweka vipimo vyao kwenye ramani ya karatasi na ya kwenye kompyuta (GIS), na pia kutumia mbinu za mbali (Remote Sensing) kuusoma uso wa dunia kwa kutumia satelaiti, ndege, drones na mimbari mbalimbali.

Geoinformaticians huweka msisitizo zaidi kwenye utengenezaji, uchakataji na uwasilishaji ramani, wakati ambapo suala la usahihi (precision) aghalabu huwa si la viwango vya milimita au pungufu, hasa kwenye ukusanyaji wa taarifa.
 
Asant san mlenge kwa taaluma nimekufaham sanna
 
Back
Top Bottom