Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,040
- 2,010
Habari za mchana wakuu,
Kuna ndugu yangu alipata GPA ya 2.5 kwenye course ya education. Sasa anataka kusoma masters but open walimwambia lazima awe na GPA 2.7, sasa anauliza afanye nini ili asome masters au ndoo imeishia hapo? Au kuna utaratibu mwingne wa kufafnya mtihani au kusoma ukapata sifa?