Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,903
- 3,140
Mwezi mmoja uliopita TAMISEMI waliagiza wakuu wa shule sehemu mbali mbali watume majina ya walimu wanaojitolea; katika tangazo lao hawakubainisha kwa ajili ya nini, lakini LOGIC ikawa ni hitaji la kuwapa ajira.
Kuna ndugu yangu alituma taarifa zake shule flani Morogoro, hakuna tetesi ama taarifa rasmi ya TAMISEMI kuhusu walipofikia na huo mchakato?
Kuna ndugu yangu alituma taarifa zake shule flani Morogoro, hakuna tetesi ama taarifa rasmi ya TAMISEMI kuhusu walipofikia na huo mchakato?