Second selection za form five zitatoka lini?

Juma makole

Member
Feb 28, 2018
46
95
Jamani wana jf naomben msaada wenu nimechoka kukaa nyumbani hvi ni lin zitatoka second selection za form five

Mwaka jana zilitoka 23rd aug...xx mwaka uuh naona kmya mno xx cjui imekuaje make walisema wanakamilisha kujenga madarasa ili waliobak wale wanafunz 21k waende form five

Nmeapply chuo ila chuo sikipend sana nipeni ushaul wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mach0

Member
Aug 7, 2018
24
45

Kwan 23rdcAugust imeshapita?? Hadi ukaxema mwaka huu kmya?? We cool kjna ukifk hko utakuja kuuliza hvi necta ya form 6 ln hku ukiwa 5

MAISHA YA ADVANCE SIO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
May 19, 2016
1,326
2,000
Mwaka huu wengi wamepangwa vyuo, so kama umeachwa tafuta namna coz wanaweza Waka select kama 1k tu out of 21k
 
Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,457
2,000
Kwa uandishi wako huo mbovu wa kuandika "xx" wakikuchagua kwenda Form Five itakuwa matumizi mabaya sana ya kodi za walala hoi

Sent from my iPhone 6s using Tapatalk
 
mr chakubanga

Senior Member
Oct 16, 2017
119
250
Jamani wana jf naomben msaada wenu nimechoka kukaa nyumbani hvi ni lin zitatoka second selection za form five

Mwaka jana zilitoka 23rd aug...xx mwaka uuh naona kmya mno xx cjui imekuaje make walisema wanakamilisha kujenga madarasa ili waliobak wale wanafunz 21k waende form five

Nmeapply chuo ila chuo sikipend sana nipeni ushaul wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
subiri watoto wenzio na jamii ya fesibuku waje wakushauri ndo wanaweza soma hzo xx na ushauli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngalamas

Member
Aug 2, 2018
45
125
shona Tulia mkuu ungejua shule inaumuhim kwko dv 1&2 zilikuwa wazi saiv ungekuwa shule naona unaharak Sana
 
Juma makole

Member
Feb 28, 2018
46
95
shona Tulia mkuu ungejua shule inaumuhim kwko dv 1&2 zilikuwa wazi saiv ungekuwa shule naona unaharak Sana
Ucongee vitu simple simple tu you dont kno challeges i faced during my education juc think before typing we are not from thi same family en locality so just take time to think what you typing about...sorry if am boring you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mr chakubanga

Senior Member
Oct 16, 2017
119
250
Naisi wenzio kina nyerere walitangulia umebaki ww ko malizia malizia mda wako utupishe..af therez no need to write long sentense for nothing if u not understand what am about youll never know till u die

Sent using Jamii Forums mobile app
haya all the best kijana naona unaandika na english kabisa i hope ulipata A ya english na upo shule now badala yakusubiria second selection

Sent using Jamii Forums mobile app
 
james marco

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
208
250
Ucongee vitu simple simple tu you dont kno challeges i faced during my education juc think before typing we are not from thi same family en locality so just take time to think what you typing about...sorry if am boring you

Sent using Jamii Forums mobile app
daah mzee baba ni hatariiii
haya all the best kijana naona unaandika na english kabisa i hope ulipata A ya english na upo shule now badala yakusubiria second selection

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom