Hizi hapa links za kufanyia applications ya vyuo mbalimbali

Nipe Andiko

Senior Member
Jan 20, 2017
133
133
Habari zenu wakuu? ...

Huu ni wakati ambapo vyuo vikuu vingi vimeanza kupokea maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali, na baadhi ya watu wanapata shida jinsi gani wanaweza kuomba vyuo wanavyotaka, mfano jinsi ya kupata link ya chuo husika, n.k

Hapa nimeweka baadhi ya links za vyuo, kama ifuatavyo;

Kufanya application chuo kikuu cha Udsm bofya hapa, UDSM Admission


Kufanya application chuo kikuu cha Udom bofya hapa, UDOM OAS | Welcome


Kuapply chuo kikuu cha Ardhi bonyeza link hii hapa, ARU Admission


Kama unataka kuapply chuo kikuu cha Mzumbe, bofya hapa MU OAS | Registration


Karibuni wadau tusaidiane kuongezea links nyingine za vyuo vikuu mbalimbali, na namna ya kufanya applications kwa chuo husika.
 
APPLY UDOM MKOMBOZI WAKO

Katika kipindi hiki kigumu, Watu wengi wanajiuliza vyuo vya kuapply....

Mimi nakushauri Apply UDOM, na nina kuhakikishia hutakosa nafasi kwasababu,

=Ni chuo kinachohitaji wanafunzi wengi zaidi, kuliko chuo chochote
=Kina nafasi nyingi, na hosteli za kutosha.
=Kina College 6 Ambazo zinatoa Coz tofauti tofauti, so lazima upate ikufaayo.
=Na mengine meeengiii

APPLY SASA KUPITIA UDOM OAS | Welcome

Pia tembelea UDOM PHOTOGRAPHYZ kwa Facebook ujionee utofauti

Udom Photographyž
 
TCU walikuwa wamewalemaza sana vyuo, walikuwa hawana muda wa kutafuta wateja kwa kujua wataletwa na TCU, safi sana. Fanyeni kazi ya kujitangaza
 
hatujitangaz ndugu tunawadirect watu sehemu bora kabisa
hayo hayakuwepo kipindi TCU wanawaletea wanafunzi, ahsante kwa kunirekebisha Kiswahili: hata serikali inasema hawakusema watatoa ELIMU BURE bali walisema watatoa ELIMU BILA MALIPO
 
hayo hayakuwepo kipindi TCU wanawaletea wanafunzi, ahsante kwa kunirekebisha Kiswahili: hata serikali inasema hawakusema watatoa ELIMU BURE bali walisema watatoa ELIMU BILA MALIPO
hahahahaaaaa kama una ndugu jamaa na marafiki, tafaadhari wakalibishe wahamie Dodoma pamoja na SERIKALI
 
Muhas na Udsm zitaongoza kwa kupokea maombi
Udom itakuwa option ya mwisho
 
Back
Top Bottom