Wakuu habari ya jumapili Nina mdogo wangu kasoma kozi ya laboratory science and technology chuo cha ualimu Monduli ngazi ya diploma kahitimu mwaka Jana 2019 , sasa naomba kuuliza je anaweza kuomba...
Habari zenu wakuu,
Mwenye ufahamu wa hizi course mbili ipi Ina unafuu kutokana na Hali ya Sasa ya changamoto ya ajira Kati ya -Water resources and irrigation engineering au laboratory science au...
Habarini na poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Ndugu zangu,natamani kujifunza ufundi wa aina yoyote kama finishing n.k, jamani ndugu zangu mafundi natafuta fundi yoyote wa kunisaidia ujuzi...
Habari, wana JF!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu... Nahitaji mawazo yenu.
Nina ndugu yangu hawezi kusoma kozi za afya kwa ngazi ya stashahada kwa sababu ya E kwenye Biology...
Habari wanajamvi poleni kwa majukumu ya hapa na pale.
Samahani naomba ushauri nilipangiwa certificate mwaka Jana lakini nilisoma semester moja ya pili sikuweza kumalizia ada kwaiyo sikuisoma.
je...
Wakuu kwema?
Naomba nifahamu gharama ya ada na gharama za hostel kwa vyuo vya kilimo vilivyo chini ya wizara ya kilimo hususani chuo cha ilonga-kilosa na Naliendele mtwara
Asante
Ni ukweli usiopingika kua. Wengi hupata shida katika kufanya maamuzi juu ya kuchagua course ya kusoma na vyuo vya kuomba.
Zipo sababu nyingi ambazo unapaswa kuziangalia kabla yakuchagua chuo na...
Naomba kuuliza kuhusu selections za chuo cha afya Dodoma,DIHAS wanautaratibu gan katika kuachia selections zao??
Kama kuna mtu alipitia hapa naomba mawazo.
Wakuu habari zenu,
Naomba kuuliza kuwa je kunauwezekano wa mtu kubadilisha kozi akiwa chuoni hasa baada ya kuchaguliwa kozi ambayo hakuipa priority..je kitu hicho kinawezekana!!!
Habari za wakati huu wadau wa elimu..?
Naomba kuuliza kuhusu hii course cha "CROP PRODUCTION AND MANAGEMENT" kutoka pale SUA maana nasikia ni course mpya.. So kama kuna aliyeanza kusoma hii kozi...
Natanguliza shukrani,
Wakuu kwa pamoja Naomba tufahamishane kozi nzuri za kusoma chuo kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma masomo ya sanaa(arts)
Nikiwa namaanisha kwamba zile ambazo zimamuwezesha...
Habari, wana JF!
Mimi Ni mdogo wenu niliyemaliza kidato Cha sita mwaka huu. Na matokeo ni kama ifuatavyo:
Phy 'A'
Chem 'B'
Bio 'C'
BAM 'B'
Nimesha'apply' kwa MD vyuo vitatu mpaka sasa; MUHAS...
Moja kati ya wajibu muhimu wa mwalimu wa shule ya msingi ni kuwafahamu wanafunzi wake ; kufahamu uwezo na udhaifu wao na kuwa na ufahamu fulani kuhusu historia ya makuzi yao ili kuweza kubuni...