mind bringer
Senior Member
- Oct 19, 2017
- 170
- 51
bachelor oducation with mathematics&ict na bachelor of education with mathematics&IT
utofauti wake na ufananao wakee na ip is the BEST koz
utofauti wake na ufananao wakee na ip is the BEST koz
meweka sawa tyalWewe mwenyewe umeshindwa kutofautisha uandikaji tutakusaidiaje?
Sehemu ulipo hakuna yeyote aliyesoma?, jitahidi hata kuulizia kwa watu hata hao wahitimu wa mtaani kwenu.
Hakuna issue zote sawa na mwisho wa siku unaishia kuwa mwalimu hata IT yako hutaifaidi kwa namna yoyote zaidi ya kusaisha madaftari na pengine ukatupwa kishule cha porini hakina hata umeme achilia mbali desktop computerbachelor oducation with mathematics&ict na bachelor of education with mathematics&IT
utofauti wake na ufananao wakee na ip is the BEST koz
doooh!!! hv IT inayosomwa n sawa na yule anayechukua degree ya IT yenyeweHakuna issue zote sawa na mwisho wa siku unaishia kuwa mwalimu hata IT yako hutaifaidi kwa namna yoyote zaidi ya kusaisha madaftari na pengine ukatupwa kishule cha porini hakina hata umeme achilia mbali desktop computer
Haiwezi kulingana, aliyesoma education kwenye IT atakuwa kagusa gusa tu.doooh!!! hv IT inayosomwa n sawa na yule anayechukua degree ya IT yenyewe
kinashindkana nn kam ukiiweza kozHaiwezi kulingana, aliyesoma education kwenye IT atakuwa kagusa gusa tu.
Uwe mwalimu alaf uwe programmer mzuri? Never
Nenda zako kawe mwalimu ndio akili itakukaa sawa uko zako village ambako hata umeme hakuna uone hyo programming yako utafanyia kwenye meza au mbaokinashindkana nn kam ukiiweza koz
Nenda zako kawe mwalimu ndio akili itakukaa sawa uko zako village ambako hata umeme hakuna uone hyo programming yako utafanyia kwenye meza au mbao
Sina tatizo nae, tangu mwanzo nimemwambia ukweli wa kile anachokichagua..Mkuu una tatizo lolote na mtoa mada? Mbona ume mjibu kwa hasira hivyo?
Issue ya kuwa IT na mwalimu papo hapo, inategemea na mhusika kama atakuwa tiali tuu na masomo pia kumkubari.Alafu hii degree program ni nzuri sana kama ataitendea kazi vizuri hawezi kaa mtaani for nothing trust me!
Atapata vi dili vidogo vidogo na vikubwa pia, akipata shule iliyo nzuri pengine mjini au kijijini anaweza pata ajira mara 2.
Nenda zako kawe mwalimu ndio akili itakukaa sawa uko zako village ambako hata umeme hakuna uone hyo programming yako utafanyia kwenye meza au mbao
Mkuu una tatizo lolote na mtoa mada? Mbona ume mjibu kwa hasira hivyo?
Issue ya kuwa IT na mwalimu papo hapo, inategemea na mhusika kama atakuwa tiali tuu na masomo pia kumkubari.Alafu hii degree program ni nzuri sana kama ataitendea kazi vizuri hawezi kaa mtaani for nothing trust me!
Atapata vi dili vidogo vidogo na vikubwa pia, akipata shule iliyo nzuri pengine mjini au kijijini anaweza pata ajira mara 2.
Kama unapenda IT soma IT pure utimize ndoto zako achana na education watakupoteza kwenye game mpaka utakuja kukumbuka huu uzi.sawa ila nlikua natafuta uelewa cio malumbano brow
Kama unapenda IT soma IT pure utimize ndoto zako achana na education watakupoteza kwenye game mpaka utakuja kukumbuka huu uzi.
Nina mifano ndugu yangu
Sina tatizo nae, tangu mwanzo nimemwambia ukweli wa kile anachokichagua..
Kama anataka kusoma Education na IT kwa Tanzania ataishia kwenye education tu na pengine akapangwa sehemu mbovu ambayo hata hiyo IT yake hawezi kuifaidi wala kuifanyia kazi.
Kingine nilimwambia kwa mfano asome education na IT sio rahisi awe competent kwenye IT ukilinganisha na mtu aliyesoma IT pure.
Akahoji tena kwanini asiwe competent ikiwa ataiweza kozi? Nikamjibu aende kwanza akawe mwalimu (hapa namaanisha mazingira ya kazi ile) then aone kama ataweza hilo analoamini.
Nina mifano ya hao watu wako bush hata gari haifiki zaidi ya zile toyota hardtop zinazopeleka mitihani ya taifa ya form four, katika mazingira kama hayo hiyo taaluma ya IT utaifanyia nini?
A desperate and stupid responseNenda zako kawe mwalimu ndio akili itakukaa sawa uko zako village ambako hata umeme hakuna uone hyo programming yako utafanyia kwenye meza au mbao