Nijuzeni kuhusu chuo Cha Ilembula college of nursing

Wadau please mwenye kukifahamu hiki chuo naomba anijuze kuhusu ubora wake katika hizi fani za afya.

Natanguliza shukran
Chuo kipo njombe ila nje kidogo nauli kama 6000 ni chuo cha dini so kinaongozwa na misingi ya kidini pia...kinatoa course ya Nursing na Clinical officer
 
Back
Top Bottom