Kijana wangu ameshindwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano wala chuo hivi second selection bado zipogo kweli waungwana

haruni haruni

Member
Jan 12, 2020
12
45
Kijana wangu ameshindwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano wala chuo hivi second selection bado zipogo kweli waungwana?
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,728
2,000
Halipata 25 combination balance hkl
25 ni ufaulu wa mwisho kabisa unaemruhusu kwenda F5 lakini ushindani utakuwa umemuweka kando. Kama uwezo upo itabidi kumpeleka F5 private au aende chuo. NACTE wameshafungua dirisha. Kusubiri na kutegemea second selection anaweza akakosa nafasi.
 

mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
21,654
2,000
Halipata 25 combination balance hkl
Atakua wa kiume eeh!?
Nami mamdo wangu Alipata ya tatu ya 25 Kombi iliyobalance vizuri HKL ila amechaguliwa advance . Relax aeza chaguliwa chaguo la pili usife moyo kiivo.

Pia inategemea na Kombi alizozipa kipaumbele kwenye selfom wakati wa kujaza labda japo sina uhakika.
yaeza kuwa hio HKL iliyobalance yeye hakuijaza kabisa


Cc Smart911
 

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
1,909
2,000
Kwenye combi kapataje?
Kama Hana CCC hawezi kwenda f5 shule Za serkali.
Na Za binafsi kweny combi awe walau CDD ili aweze kusajiliwa necta f6.
Othwse atapoteza garama na muda huko private
 

haruni haruni

Member
Jan 12, 2020
12
45
Kwenye combi kapataje?
Kama Hana CCC hawezi kwenda f5 shule Za serkali.
Na Za binafsi kweny combi awe walau CDD ili aweze kusajiliwa necta f6.
Othwse atapoteza garama na muda huko private
Wakubwa naombeni msaada wa shule kunitajia shule za advance ambazo ada yake kwa bweni isiwe zaidi ya 1000000
 

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,332
2,000
Division 3 hasa hizi za mwishomwisho ambazo ziko unbalance siku hzi huwa wanapangiwa vyuo vya kati certificate.
Ni Mara chache kuchguliwa 5 labda watoto wa kike kutoka hz St.Kayumba huwa wanafikiriwa
 

Abby mona

Member
Aug 31, 2020
22
45
Hv huu mwaka second selection zitatoka kweliiii au ndio kampenii mpaka mmetusahau wanafunzii WA huu mwaka
 

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,585
2,000
Ningekuwa ndio mm, ningempeleka vyuo vya ufundi, akapate ujuzi.. hayo mambo sijui ya advance, ni wastage of time.

Finally, we needs money , na maisha yenye furaha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom