VonLee
Member
- Jul 19, 2020
- 17
- 15
Habarini na poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Ndugu zangu,natamani kujifunza ufundi wa aina yoyote kama finishing n.k, jamani ndugu zangu mafundi natafuta fundi yoyote wa kunisaidia ujuzi. Nipo tayari jamani nipo mbezi beach.
Mwenye kuguswa na hii namba yangu ni 0684645026.
Ahsanteni