Kozi nzuri kwa ajili ya masomo ya arts

Kozi nzuri kwa ajili ya masomo ya arts

koboG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Posts
2,763
Reaction score
5,174
Natanguliza shukrani,

Wakuu kwa pamoja Naomba tufahamishane kozi nzuri za kusoma chuo kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma masomo ya sanaa(arts)
Nikiwa namaanisha kwamba zile ambazo zimamuwezesha kujiajili au kupata ajira kwa wepesi na zinapewa kipaumbele hata kwenye mikopo

Natanguliza shukurani
 
Hakuna hata moja inayo pewa kipaumbele MSEMA KWELI KIPENZI CHA MUNGU kama hesabu alifaulu o level aende masomo ya biashara tu wanaruhusu mfano accounting , procurement N.K
Sidhani km umefikiri sawasawa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hakuna hata moja inayo pewa kipaumbele MSEMA KWELI KIPENZI CHA MUNGU kama hesabu alifaulu o level aende masomo ya biashara tu wanaruhusu mfano accounting , procurement N.K
Mkuu hivi unajua kweli hata kozi ambazo zinapewa kipaumbele na serikali kwenye mikopo?
 
Natanguliza shukrani,

Wakuu kwa pamoja Naomba tufahamishane kozi nzuri za kusoma chuo kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma masomo ya sanaa(arts)
Nikiwa namaanisha kwamba zile ambazo zimamuwezesha kujiajili au kupata ajira kwa wepesi na zinapewa kipaumbele hata kwenye mikopo

Natanguliza shukurani

Swali lako ni zuri japo ninachosikitika tu ni kwamba yaani kusoma kote huko hadi sasa unatarajia kwenda Chuo Kikuu bado tu hujajua unataka kusoma nini.

Kuhusu swali lako la ama iwe Kozi itakayokuwezesha kujiajiri au kupata ajira nadhani hili swali ungeliuliza kwa nchi kama za Ulaya huko jibu lake lingekuwa rahisi mno kutokana na mfumo wao ila nisikufiche kwa hapa Tanzania ni Kozi chache sana za Arts na pengine hata hakuna ambazo zinaweza kukufanya ujiajiri bali nyingi ni za kukufanya tu 24/7 uzunguke na bahasha kutafuta Kazi.

Mwisho kipaumbele chako Kwanza kisiwe katika kupata Mkopo kama ambavyo inaonekana unataka kama siyo kutamani bali jikite Kwanza katika kujua ukienda huko Chuo Kikuu unataka kusomea nini kwani unaweza ukapata huo Mkopo lakini ukakosea katika Kozi halafu ukawa hujafanya kitu.
 
Shukrani
 
Natanguliza shukrani,

Wakuu kwa pamoja Naomba tufahamishane kozi nzuri za kusoma chuo kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma masomo ya sanaa(arts)
Nikiwa namaanisha kwamba zile ambazo zimamuwezesha kujiajili au kupata ajira kwa wepesi na zinapewa kipaumbele hata kwenye mikopo

Natanguliza shukurani
Japo hampendi ila MIMI NAKUSHAURI USOME LAW!!

Kuna kozi inaitwa land valuation iko ardhi. Mwaka wetu ilikua na loan. Shida ya hii kozi mwaka wetu ilikua na ushindani mkubwa sana kama huna one unakaa pemben!!

Bado sheria is the best so far kwa arts!! Ukijiloga ukasoma elimu imekula kwako maana wenzako tokea mwaka 2015 kazi hawana!!

Yote kwa yote jiulize unapenda kuwa nani au unataka nini. Hili ndio swali la msingi!!
 
Napenda kuwa mwanasheria mkuu na ndio ndoto yangu ya muda mrefu asante kwa courage yako
 
Back
Top Bottom