STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,270
- 6,844
Habari za wakati huu wadau wa elimu..?
Naomba kuuliza kuhusu hii course cha "CROP PRODUCTION AND MANAGEMENT" kutoka pale SUA maana nasikia ni course mpya.. So kama kuna aliyeanza kusoma hii kozi toka mwaka Jana aje anipe dondoo kwa ujumla kuhusu hii kozi pale kwa Sokoine.