Je, ni kweli kupata chuo MD ni bahati?

Dr Maja

Member
Aug 23, 2020
67
72
Habari, wana JF!
Mimi Ni mdogo wenu niliyemaliza kidato Cha sita mwaka huu. Na matokeo ni kama ifuatavyo:
Phy 'A'
Chem 'B'
Bio 'C'
BAM 'B'

Nimesha'apply' kwa MD vyuo vitatu mpaka sasa; MUHAS, UDSM-MUCHAS, na UDOM.

Lakini, napata wasi wasi pale ninaposikia eti ninaweza kukosa na mwenzangu mwenye point 8 akapata. Na kwamba sometimes huwa ni bahati tu! Kwa wale wenye uzoefu, kwa heshima yenu, ni ya kweli hayo?? Au nikutishana tu!

PS: kiukweli inaleta hofu sana kwangu. Nilijua baada ya struggles mpaka kufaulu vizuri, na stress za kusubiri matokea...nitakuwa na amani!
 
Hakuna bahati kwa ujumla, issue ni ushindani kwa nafasi chache zilizopo. Hapo umechagua vyuo vinavyo gombewa na wanafunzi wengi vikiwa na nafasi chache kwa ujumla. Ningekuwa wewe ningeongeza vyuo viwili zaidi vya binafsi ili kama mambo yakikataa hapa naongeza nafasi yangu ya kupata selection.
 
Nimependa hyo "Ningekuwa wewe" sio zile "Ningekuwa mimi"
Hiki ndo kiswahili bhana kinatakiwa
 
Hakuna bahati kwa ujumla, issue ni ushindani kwa nafasi chache zilizopo. Hapo umechagua vyuo vinavyo gombewa na wanafunzi wengi vikiwa na nafasi chache kwa ujumla. Ningekuwa wewe ningeongeza vyuo viwili zaidi vya binafsi ili kama mambo yakikataa hapa naongeza nafasi yangu ya kupata selection.
Ahsante kwa mawazo yako
 
A
Habari, wana JF!
Mimi Ni mdogo wenu niliyemaliza kidato Cha sita mwaka huu. Na matokeo ni kama ifuatavyo:
Phy 'A'
Chem 'B'
Bio 'C'
BAM 'B'

Nimesha'apply' kwa MD vyuo vitatu mpaka sasa; MUHAS, UDSM-MUCHAS, na UDOM.

Lakini, napata wasi wasi pale ninaposikia eti ninaweza kukosa na mwenzangu mwenye point 8 akapata. Na kwamba sometimes huwa ni bahati tu! Kwa wale wenye uzoefu, kwa heshima yenu, ni ya kweli hayo?? Au nikutishana tu!

PS: kiukweli inaleta hofu sana kwangu. Nilijua baada ya struggles mpaka kufaulu vizuri, na stress za kusubiri matokea...nitakuwa na amani!
Acha kupaniki ndugu wa kati umefaaulu vizuri tu, ww chuo unapata kabisa.. Anza kuosha mabegi yako pindi una-drop bila kusahau wallet ya kibabe ya kuhifadhi boom lako
 
Habari, wana JF!
Mimi Ni mdogo wenu niliyemaliza kidato Cha sita mwaka huu. Na matokeo ni kama ifuatavyo:
Phy 'A'
Chem 'B'
Bio 'C'
BAM 'B'

Nimesha'apply' kwa MD vyuo vitatu mpaka sasa; MUHAS, UDSM-MUCHAS, na UDOM.

Lakini, napata wasi wasi pale ninaposikia eti ninaweza kukosa na mwenzangu mwenye point 8 akapata. Na kwamba sometimes huwa ni bahati tu! Kwa wale wenye uzoefu, kwa heshima yenu, ni ya kweli hayo?? Au nikutishana tu!

PS: kiukweli inaleta hofu sana kwangu. Nilijua baada ya struggles mpaka kufaulu vizuri, na stress za kusubiri matokea...nitakuwa na amani!

Dogo hauna haja ya kupanik, matokeo yako mazuri ushindwe wew tu... Kwa physics ile unachebua A ...😲
 
Hakuna bahati kwa ujumla, issue ni ushindani kwa nafasi chache zilizopo. Hapo umechagua vyuo vinavyo gombewa na wanafunzi wengi vikiwa na nafasi chache kwa ujumla. Ningekuwa wewe ningeongeza vyuo viwili zaidi vya binafsi ili kama mambo yakikataa hapa naongeza nafasi yangu ya kupata selection.
Zingatia sana haya mawazo ya huyu mdau...,yanaweza kukusaidia...!
 
Back
Top Bottom