Msaada kwa aliepitia/anaejua vyuo vya kilimo vilivyo chini ya wizara ya kilimo

Konki kichaa

Senior Member
May 18, 2018
103
72
Wakuu kwema?

Naomba nifahamu gharama ya ada na gharama za hostel kwa vyuo vya kilimo vilivyo chini ya wizara ya kilimo hususani chuo cha ilonga-kilosa na Naliendele mtwara

Asante
 
sikuizi Kuna wale wanaokua sponsored na serikali hawa wanalipa takribani laki sita na point kadhaa kwa mwaka, chakula, makazi na huduma nyingine zote ni bure. Kundi la pili ni wale waliokosa udhamini, hawa hawalipa milioni moja na laki nane na point hivi, pia hawa huduma zote baada ya malipo hayo ni bure,

Upande wa vyuo vipo si chini ya kumi, baadhi ni Kama ukiriguru-Mwanza, Tumbi-morogoro, Naliendere- Mtwara, kilosa-morogoro, Maruku- Bukoba,Mlingano- Tanga nk.
 
Asante huyu ndugu yangu hajadhaminiwa na serikali nataka nimsomeshe kwa maana kaomba nafasi za masomo vyuo viwili ilonga morogoro na mtwara sasa nilitaka nijue feedback za ada na gharama zingine
 
sawa ndugu jipange tu gharama ni milioni moja na laki nane tu kwa mwaka na vingine vyote ni bure
 
sikuizi Kuna wale wanaokua sponsored na serikali hawa wanalipa takribani laki sita na point kadhaa kwa mwaka, chakula, makazi na huduma nyingine zote ni bure. Kundi la pili ni wale waliokosa udhamini, hawa hawalipa milioni moja na laki nane na point hivi, pia hawa huduma zote baada ya malipo hayo ni bure,

Upande wa vyuo vipo si chini ya kumi, baadhi ni Kama ukiriguru-Mwanza, Tumbi-morogoro, Naliendere- Mtwara, kilosa-morogoro, Maruku- Bukoba,Mlingano- Tanga nk.
Mkuu naomba kunielimisha kidogo kuhusu kuwa sponsored na serikali hapo ...
nifahamu labda ni Kwa vipi naweza kupata?
 
ukishatuma maombi, wanachagua majina ya watu wenye vigezo baada ya hapo, wanaangalia nani tumfadhili na nani tumuache kwa kigezo Cha ufaulu, hivyo wale wanaobahatika wanalipiwa pesa za ufadhili na serikali na mwanafunzi anachangia sehemu ndogo tu Kama laki sita hivi Kama sijasahau
 
anhaa japo nimeomba vyuo vya mifugo bado nasubir selections nione.

so ni mpaka ukifika chuo ? Au zinapotoka selections unafahamu kabisa kwamba utafadhiliwa au inakupasa ujipange Tu mapema ....

au ukichaguliwa mengine ukifika chuo huko huko ndo utajua..
 
majina yakitoka yanaonyesha pia sehemu ya ufadhili
 
Back
Top Bottom