Naomba msaada wa namna ya kupata Reference Number maombi ya chuo

ukisha jisajili wanakupa password na username..tumia kulog in then utaona ujumbe umeandikwa kwa maandish mekundu utaiona apo.
japo ata ukilog in hautaingia mpk ulipie iyo pesa
Hizo username na password huwa ni za kulog in NACTE au Chuo?
 
Back
Top Bottom