Selection za waliochaguliwa kusoma kozi za afya kwa walio omba NACTE 2020/2021

Nilikuwa naulizia hivi list ya selected students from NACTE in health courses yata tangazwa lini???
uwe na subira, zikitoka utajua tu.nenda website ya NACTE kuna kalenda ya kila kitu.....

BUT KAMA HUNA DIV 1 VYUO VYA SERIKALI CLINICAL MEDICINE HUWEZI KUPATA.... UKIBAHATISHA DIV 2 YA MWANZONI UNAWEZA KUPATA
 
Selection Bado, sasa hizo criteria za 1na two umetoa wapi??
 
Selection Bado, sasa hizo criteria za 1na two umetoa wapi??
Mh! nyie vijana muwe mnasoma between lines. Nimemjibu kwa vyuo vya serikali, uzoefu wangu kwa miaka 3 unanionyesha hivyo- Kibaga, Lugalo and the like. Vya binafsi hakuna shida...
 
Mh! nyie vijana muwe mnasoma between lines. Nimemjibu kwa vyuo vya serikali, uzoefu wangu kwa miaka 3 unanionyesha hivyo- Kibaga, Lugalo and the like. Vya binafsi hakuna shida...
Sio kila sehemu na kila wakati
Uzoefu wako unaweza kuwa una tale na actual situation
 
Swali ni
Source ya Hypothesis yake
Swali lako linaonyesha kila dalili ya kuwa kwenye hatari, ikiwa vigezo alivyokwambia jamaa hapo juu 🖕 vitazingatiwa.Alichokisema jamaa Ni sahihi kabisa, hasa katika vyuo vya serikali, na hiyo ni kwasababu competition Ni kubwa.Ukiniomba ushahidi wa kina siwezi kukupa, zaidi ya kuwa na uzoefu wa zaid ya Miaka 5.
NB: UKIWA NA DIVISION TWO NZURI,UNAWEZA KUCHAGULIWA.
 
Swali lako linaonyesha kila dalili ya kuwa kwenye hatari, ikiwa vigezo alivyokwambia jamaa hapo juu vitazingatiwa.Alichokisema jamaa Ni sahihi kabisa, hasa katika vyuo vya serikali, na hiyo ni kwasababu competition Ni kubwa.Ukiniomba ushahidi wa kina siwezi kukupa, zaidi ya kuwa na uzoefu wa zaid ya Miaka 5.
NB: UKIWA NA DIVISION TWO NZURI,UNAWEZA KUCHAGULIWA.
Ila huwezi kuthibitisha..???
....F5 anaenda mwenye points ghan??
 
Ikiwa wanachaguliwa CO ni dvsn 1 and 2
Je walichaguliwa F5 ni wenye sifa ghan..??

Je mhitimu wa F6 akitaka Ordinary Diploma inamuajeee???
😂😂 Unataka kusema, waliopata chini ya division one & two, huko ndo sehemu yao ya kiponea.? Tena course za afya? Anyway ngoja nikujibu swali lako kiufupi kabisa.
Waliopata one & two, sio wote waanakuwa na interest za kwenda advanced level, na hao ndo wanaohitajika.Incase mwanafunzi umefeli utaenda course nyingine zinazoendana na ubongo wako, sio afya..!
 
Unataka kusema, waliopata chini ya division one & two, huko ndo sehemu yao ya kiponea.? Tena course za afya? Anyway ngoja nikujibu swali lako kiufupi kabisa.
Waliopata one & two, sio wote waanakuwa na interest za kwenda advanced level, na hao ndo wanaohitajika.Incase mwanafunzi umefeli utaenda course nyingine zinazoendana na ubongo wako, sio afya..!
Ubongo ?????
Unamaanisha nini mkuu hapo???

Mbona kama hajajibu swali bali unajaribu kuji express wewe kama wewe..
 
Back
Top Bottom