Luhomano
Member
- May 1, 2020
- 57
- 32
Wakuu habari ya jumapili Nina mdogo wangu kasoma kozi ya laboratory science and technology chuo cha ualimu Monduli ngazi ya diploma kahitimu mwaka Jana 2019 , sasa naomba kuuliza je anaweza kuomba ajira zilizotangazwa hapa juzi ukizingatia wao wanatambuliwa kama laboratory technicians na siyo waalimu na huku wamesoma katika vyuo vya ualimu, maalumu kwaajili ya shule za sekondari.