Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu wakuu. Mdogo wenu nilipata div 2 kwa kombi ya PCB yaani flat D na nikaaply vyuo vitatu :- SUA, UDSM na Udom lakini nimekosa kote sasa nina wazo pia la kuapply diploma ya pharmacy...
1 Reactions
134 Replies
19K Views
Kutokana na matatizo mbali mbali niliyopitia mwaka wa kwanza chuo semester ya pili yamevuruga akili yangu imekuwa sio ile yenye nguvu kila kitu kwangu naona uvivu tu hadi kushika daftar Nipo mwaka...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
wakuu nina kijana wangu anamaliza darasa la 7 mwakani. nataka akiwa tayari kuenda o level nimpeleke shule ambayo haijali tu masomo ya kawaida bali michezo pia. nataka kutengeneza bonge la...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Nimetumiwa hili tangazo ya kuwa SUA wameshafungua raundi ya pili ya application. Naomba tukumbushane ndugu zetu, tuombe kabla ya tarehe 18/10/2020. Nawasilisha.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Umepewa Tsh.100 ukanunue kuku, bata,na Njiwa. Jumla yao wawe 100. Ikiwa kuku mmoja anauza Tsh.1, bata mmoja anauza Tsh.5 na Njiwa mmoja anauza Cent 1. Je, utanunua kuku, Njiwa na Bata wangapi?
2 Reactions
5 Replies
655 Views
Wakuu hamjambo, Vijana wetu wa darasa la Saba wako mtaani kwa muda wa miezi mitatu Hadi hapo watakapojiunga na kidato cha kwanza mwezi Januari mwakani. Kwa umuhimu wa kipindi hiki na ukizingatia...
3 Reactions
5 Replies
986 Views
Habari wakuu, Nilikua napenda kujua hivi MUST ada huwa inalipwa kwa semister au ni yote kwa mkupuo?
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Nina mdogo wangu amechaguliwa mipango tu kwenye 1st round aka confirme, ilipotangazwa 2nd round akaomba tena akapata aridhi university, ila aridhi wamekataa kumtumia code kwaajili ya ku confirme...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wadau, najaribu kumsaidia mdogo wangu kufanya online application kwa chuo cha Kilimo cha Sokoine, naomba msaada kwa wadau walioweza kufanya application kwa chuo cha Kilimo cha Sokoine...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Natafuta mtu anaesoma law campus ya mbeya, Mzumbe uni. Tuwasiliane PM
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sorry wakuu nilihitaji kujuzwa coz wanazotoa mzumbe campus ya mbeya,pia ni vyuo vipi mbeya vinatoa degree ya education
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za kutwa Wazee wa jukwaa. Ninaomba kwa anaye faham shule nzuri ya kiislam kwa mtoto wa kike. Mwanangu anategemea kuanza darasa la kwanza mwakani panapo majaaliwa. Nimefikiria swala la...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Kwa kutambua umuhimu wa kundi la Vijana, ambalo ni takriban asilimia 60 ya idadi ya Watanzania wote. Serikali na wadau mbalimbali wamekuwa mstari wa mbele kulisaidia kundi hili muhimu. Kwa sasa...
1 Reactions
1 Replies
625 Views
Kama unabisha hili toa hoja tuamini. Mimi ninaamini DIT wanafunzi wa kiume ni wengi kuliko wanafunzi wa kike.
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimehitimu Elimu ya kidato cha Sita kwa ufaulu wa Dvn 1.7 nikapata Chuo cha Dar es salaam kwa Programme ya Archaeology ningependa kusomea programme nyingine kwa ngazi ya Masters Sent using...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Hakuna atakayekuja chumbani au mezani kisha akakulazimisha kuelewa unayojifunza darasani kwa ngazi yeyote uliyopo. Vema ukajitambua aina ya usomaji ulionao ,Kwa maana ni kwa njia ipi unaitumia...
4 Reactions
2 Replies
865 Views
Kuna siku nimekutana na kijana mmoja ambaye amekuwa akifanya vizuri katika tasnia ya habari na utangazaji. So wakati tunazungumza akanieleza miongoni mwa sababu zilizomvutia hata akaamua kuchukua...
1 Reactions
8 Replies
974 Views
Amani ya Mungu iwe nanyi ! Katika Jukwaa hili la elimu yanayo jadiliwa na kufafanuliwa na kuandaliwa makala ni yanayo tokana na Elimu makhsusi au Elimu yeyote tu?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanafunzi unaetaka kujua kuhusu hii kozi au mtu yeyote mwenye interest na kozi ya LMV unaweza Kiniuliza chochote kuhusiana na hiyo kozi.
1 Reactions
22 Replies
23K Views
Habarini ndugu zangu, Kwa majina naitwa Ellyskywilly, nimeandika uzi huu maalum kuelezea 10 biggest Oil and Gas industry contractors. Nitaomba kutumia lugha ya kiingereza kwasababu itakua ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom