Kwa ugumu wa chuo kama DIT, wanafunzi wa kiume inaonyesha ni wengi kuliko wanafunzi wa kike

Kama unabisha hili toa hoja tuamini. Mimi ninaamini DIT wanafunzi wa kiume ni wengi kuliko wanafunzi wa kike.
, mbona hio ni kawaida kwa kozi nyingi kujaza wanaume kuliko wanawake.
Na sio kipimo kua DIT ni chuo kigumu au kikubwa! Ishu angalia elimu yako kichwani kama imekusaidia kupata pesa basi
 
Back
Top Bottom