Habarini wadau, najaribu kumsaidia mdogo wangu kufanya online application kwa chuo cha Kilimo cha Sokoine, naomba msaada kwa wadau walioweza kufanya application kwa chuo cha Kilimo cha Sokoine.
Najaribu kuingia kwa user name kama walivyoelekeza namba ya mtihani wa Form Four na password waliyotuma kwa simu lakini haikubali na inaleta ujumbe “invalid username” na nimejaribu kupiga namba zao za msaada zilizopo kwa tovuti yao ya chuo bila mafanikio.
Asante kwa msaada najua hapa jamvini naweza pata msaada.