M Memew Member Joined Oct 16, 2020 Posts 16 Reaction score 11 Nov 3, 2020 #1 Habari wakuu, Nilikua napenda kujua hivi MUST ada huwa inalipwa kwa semister au ni yote kwa mkupuo?
Africa Tanzania JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 1,504 Reaction score 2,276 Nov 3, 2020 #2 Ngoja waje!
B basi fresh Senior Member Joined Aug 16, 2018 Posts 108 Reaction score 185 Nov 3, 2020 #3 Kwa semister..ila ukipenda unauwezo wa kulipa yote Memew said: Habari wakuu, Nilikua napenda kujua hivi MUST ada huwa inalipwa kwa semister au ni yote kwa mkupuo? Click to expand...
Kwa semister..ila ukipenda unauwezo wa kulipa yote Memew said: Habari wakuu, Nilikua napenda kujua hivi MUST ada huwa inalipwa kwa semister au ni yote kwa mkupuo? Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,521 Reaction score 193,509 Nov 4, 2020 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,987 Reaction score 189,573 Nov 4, 2020 #6 Vyuo vya serikali utaratibu minimum ya muda wa malipo ni semester ili ufanikiwe kufanya mtihani wa semester husika. Kama uwezo upo kukamilisha malipo ya semester zote si mbaya!
Vyuo vya serikali utaratibu minimum ya muda wa malipo ni semester ili ufanikiwe kufanya mtihani wa semester husika. Kama uwezo upo kukamilisha malipo ya semester zote si mbaya!