Kwanini una(me)soma kozi uliyochagua?

Kwanini una(me)soma kozi uliyochagua?

Joined
Nov 2, 2020
Posts
68
Reaction score
90
Kuna siku nimekutana na kijana mmoja ambaye amekuwa akifanya vizuri katika tasnia ya habari na utangazaji.

So wakati tunazungumza akanieleza miongoni mwa sababu zilizomvutia hata akaamua kuchukua masomo hayo.

Ni kuwa amekuwa akichukua namna baadhi ya watangazaji wanavyo bananga lugha kwa kuchanganya matumizi ya herufi, mfano L na R.
Hivyo kwa kuwa utangazaji unasikika na wengi. Aliamua kuchukua masomo hayo, ili atoe mchango wake katika matumizi ya lugha.

Kwako wewe mwanafunzi au mhitimu. Kwa nini umeamua kusomea masomo hayo. Sasa au umeyasomea chuoni?

Maoni yako ni muhimu kwako.

Karibu

Youth Worker

Hardness, Teaches
 
Kipindi hicho kwa masomo niliyochukua advance ilikuwa kila mwaka kuna course (Chuo) ipo hot na unachaguliwa kulingana na ufaulu.

Basi maji yakafata mkondo wake!
 
Nilivyokua mdogo nilikua napenda udaktari nilipofika o-level nikawa na interest na engineering nikasoma computer engineering na sijawai kujuta.
 
Nilivuokuwa mdogo nilitamani Sana kuwa daktar

Nilipofika o level ndoto zikabadilika nikawa Natamani kuwa Rubani

Advance imefanya ndoto zangu zote zipotee

Mkuu nimechaguliwa Wildlife management chuo Cha Mweka mwakaa huu

Cjajua Kama nitajuta ila Kama Kuna m2 anaujuzi wa Hiyo Kozi anijuze katika uzi huu[emoji120][emoji120]

Nawasilisha
Advance imefanya ndoto zangu zote zipotee

Unaweza fafanua hapo mkuu
 
Advance nilichaguliwa shule ambayo ilikuwa na kombi moja2 ya science yaani CBG ijapokuwa nilikuwa na ufauru wa kusoma Kombi yoyote ya science nikashindwa kubadili Kombi

Ilininidi nitanye utaratibu wa kuhama shule nako nikagonga mwamba
Ikabidi nikomae na Kombi hiyo2 mwisho wa siku nimeingia katika uwanda mwingine wa Wildlife management
Pamoja na mabadiliko kutokea advance,Hadi sasa ndoto yako iko kwenye fani gani?
 
Back
Top Bottom