daser cheeter
Member
- Feb 5, 2019
- 6
- 0
Sorry wakuu nilihitaji kujuzwa coz wanazotoa mzumbe campus ya mbeya,pia ni vyuo vipi mbeya vinatoa degree ya education
Kozi ni nyingi San kile ni chuo kikuuSorry wakuu nilihitaji kujuzwa coz wanazotoa mzumbe campus ya mbeya,pia ni vyuo vipi mbeya vinatoa degree ya education
Wanatoa na koz ya education ngaz ya degree!???asante
Sorry wakuu nilihitaji kujuzwa coz wanazotoa mzumbe campus ya mbeya,pia ni vyuo vipi mbeya vinatoa degree ya education
Mm nancho jua pale ni LAW tuu (LLB)Sorry wakuu nilihitaji kujuzwa coz wanazotoa mzumbe campus ya mbeya,pia ni vyuo vipi mbeya vinatoa degree ya education
Iyo ni zamani sasa ivi Llb, Bba, Baf. Hr na nyinginezoMm nancho jua pale ni LAW tuu (LLB)
Huenda sina updates. Maana ndio ilikuwa hivyo
Vipi kuhusu BAED mkuu???
Mkuu unataka usome education???Vipi kuhusu BAED mkuu???
Mkuu unataka usome ed
Yeah, kuna any suggestion??Mkuu unataka usome education???
Naona hata nikae mtaani bado life linapiga bora muda huu nikautumie kule,may be ya leo sio ya kesh mkuuUmejipangaje?? Maana naona walimu ndio watu wenye changamoto za ajira. Sijui ww umejipangaje
Naona hata nikae mtaani bado life linapiga bora muda huu nikautumie kule,may be ya leo sio ya kesh mkuu