josewatano
Member
- Sep 20, 2011
- 65
- 25
Jamani nauliza hivi mtu aliyesoma shahada ya sanaa na elimu je? anaweza kufanya kazi gani nje ya kufundisha
]Bachelor of Science with Education(BSC.ED) au Bachelor of Arts with Education (BAED)[/COLOR] inamwezesha mhitimu kuwa na utaalamu ambao ualimu ni nyongeza tu, wapo BED arts Bachelor of Education arts huyu ni Mwalimu wa masomo ya arts while BED science (Bachelor of Education science.) huyu ni mwalimu wa masomo ya sayansi.
Mkafundishe jaman walimu hawatoshi shule za kata
yeye aliipokuwa anaanza kusoma alikuwa anataka kuwa nani!!!!? kusoma bila malengo sina shaka hata performance yake itakuwa mbaya sana!!!!Hvi m2 hadi unaamua kupoteza miaka yako 3 afu leo ndo unajidai kutaka kubadil fani,hukua na malengo au?ebu kafundshen vijana we2 huko bana.
Humu ndani kuna ushauri mwingine ni sawa na nguvu za giza..mfano unapomuuliza kwanini alisoma hiyo kozi ya sanaa na ualimu ama eti labda alifeli sana,binafsi nahisi wewe ndo ulifeli
Mfano pale UDSM napopajua mimi ni kwamba hii kozi imo ndani ya kitivo cha sanaa na sayansi za jamii (CASS) na si ndani ya elimu
Hiyo ni moja,pili nakumbuka mwaka 2006 watu wengi waliingia hii kozi kufuatia kilaza wenu J.K kuwadanganya ya kwamba mikopo itatolewa 100% kwa watakaosoma udaktari,ualimu ama Kilimo,kabla ya kuwageuka hapo baadae na kuanza kutoa mikopo kwa mtindo mpya na wa kibaguzi wa 'Means Testing'
Hii ilipelekea wazazi na watoto wengi wasio na pesa za kifisadi kuona hizo ndo kozi za watoto wao kusoma,tofauti na walivyoambiwa na kuanzishwa kwa Means Testing,ilikuwa 2 feb,2006 tukiwa Diamond Jubilee J.K akatangaza hakuna atakayefukuzwa chuo kwa kushindwa kulipa pesa,ilipofika april Msolla alitoa tangazo vyuoni kwamba yeyote anayedaiwa hataruhusiwa kufanya UE,ndo mgomo ukaanza UDSM nzima na chuo kilifungwa kwa zaidi ya mwezi mzima mpaka tukarudi kwa masharti 9 ya Mkandara.
Leo hauwezi ukamuuliza mtu huyu kwanini ulisoma kozi fulani,utakuwa haumtendei haki,tuwe na kumbukumbu ya matukio ndo tutaweza kujua kwanini tuko hapa na wapi tulikotoka,tulipo na tunapokwenda...big up to all the Great thinkers!
Hacheni mambo ya ajabu nyinyi ualimu ni kupotezeana muda 2,mimwenye nimemaliza digrii ya ualimu saut ila sikuwa na moyo wa kufundisha saivi napiga kazi NMB as bank teller nakamshaara kazuri na hata nikitaka kukopa ntakopa hela ya ukweli lakini sio ualimu uko ukienda utaishia kunywa gongo na kushona vilaka ndugu yangu funguka.
Hacheni mambo ya ajabu nyinyi ualimu ni kupotezeana muda 2,mimwenye nimemaliza digrii ya ualimu saut ila sikuwa na moyo wa kufundisha saivi napiga kazi NMB as bank teller nakamshaara kazuri na hata nikitaka kukopa ntakopa hela ya ukweli lakini sio ualimu uko ukienda utaishia kunywa gongo na kushona vilaka ndugu yangu funguka.