Naomba tujuzane kozi zenye wahitimu wachache Tanzania

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
709
1,000
Habarini wakuu naomba tujuzane kozi zenye wahitimu wachache Tanzania ikiwezekana tujuzane na idadi ya wahitimu
 

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
709
1,000
Sisi wengjne tulijimwambafy na sayansi tupotupo tu. Ila jamaa yetu kilaza alienda kusoma masuala ya kuchonga madini kama kozi fupi sasa hivi anapesa ya madini balaa.😂😂
Haya maisha yani acha tu.
Kila mtu na bahat yak, mkuu huwezi somea udaktari ukasema unaweza make money
Physics hapana, mfano Walimu wengi tu physics wanahitajika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kozi inaitwa Bachelor of Science in Physics
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom