Naomba kufahamishwa mambo kadhaa kuhusu SUA

Naomba kufahamishwa mambo kadhaa kuhusu SUA

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,822
Mdogo wangu mpendwa amechaguliwa hapo first round, naomba msaada kufahamishwa mambo kadhaa..

1. Malazi, vp kuhusu hili, kuna hostel za kutosha au ajipange kuchukua room mtaani, au anatakiwa awahi sana ndo atapata? Na km anapata hostel wanaishi wangapi kwa room moja?

2. Chakula, gharama za msosi ipoje hapo, na upatikanaji wake upoje?

3. Ni nin muhimu sana aje navyo ili maisha ya SUA yamuendee vema, na ni vitu gani aviepuke hasa ili kuishi vema SUA

4. Walimu wapoje hapo? Kuna fairness au ndo kukaziana hasa, wana haiba gan kiujumla

5. Karibu kwa chochote ambacho unahis ni muhimu kukifahamu kwa hapo SUA

NB: dogo anakuja kupiga kozi ya Bsc. Human Nutrition
 
✓Hostel zipo kama zote vile lkn akiamua kukaa mtaani pia nyumba za kutosha
✓Kuhusu maladhi akuna shida labda kuhusu maji ndo changamoto inabid awe ananuna maji ya kunywa maana maji ya Moro sio poa kabisa kunywa labda awe anachemsha pia yanakuwa kama machachu iv so nibora awe ananunua [emoji29]
✓Aje na pesa tuu vingine atavikuta uku uku maana maisha uku pia yapo
✓Kuhusu fair apo inabid apambane tuu maana akuna namna bila ivyo Suplimentary zitamuhusu Sana pia ata kudisco pia kupo tena Sana[emoji87][emoji87]
✓ kama n mtu wa Bata apa ndo nyumba kwake kuna kaumbwa, samakisamaki , nk [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
✓ pia kama ni mtu wa ibada apa ndo nyumban pia maana kuna makanisa kila dhehebu na Msikiti ndani ya chuo

Namtakia kila lakheli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja sana mkuu, so hostel kila mtu room lake, sio??
 
Duuh, basi huyu dogo itabid tu nimatafutie room mtaan, hawezi kabisa kuishi room la namna hiyo
Kwa nini asiweze? Acha kumuendekeza mtu mzima. Vyuo vyote bongo pamoja na sekondari za boarding watu wanakaa wengi kwenye vyumba au bweni. Yeye ana tatizo gani asiweze au anakojoa kitandani?
 
✓Kuhusu maladhi akuna shida labda kuhusu maji ndo changamoto inabid awe ananuna maji ya kunywa maana maji ya Moro sio poa
Hapa TZ mkoa wenye maji mazuri na yenye uhakika ni Mwanza tu.
 
Kwanza kabisa amepata course ya wapi, Main campus ama mazimbu..? Kama ni mazimbu huko wanalala watu sita chumba kimoja
 
Back
Top Bottom