Ndugu zangu,
Mimi ni ndugu yenu nimemaliza chuo mwaka huu nina Degree ya Human Resource Management. Nimesomea Morogoro Mzumbe nina GPA ya 4.2.
Kwa muda mrefu nilikua natamani sana kuwa mwalimu...
Je Mzigu taaluma inashuka, ada inapanda tuwaeleweje???
ni kama sasa headteacher umeshindwa kusimamia walimu wako, unampotosha sana mmliki wa shule. Walimu wako hawafundishi, Kujumlisha tu maksi...
Title ya thread inajieleza.
Nahitaji shule ya English medium kwa mwanangu inayopayikana mitaa ya Goba na viunga vyake. Tafadhari sana share nami shule ambayo nikimpeleka mwanangu sitojuta
Wadau wa jukwaa la elimu.
Ningependa kujua kwa mwenye uelewa.
Na hii course ya youth Work Development and Commonwealth inatoa mtu gani katika jamii? Unakuwa nani?
Wana JF, mwenye uelewa na hili naomba ufafanuzi tafadhali.
Hivi? kwa mwalimu aliyejiendeleza kitaaluma kutoka ngaz ya cheti hadi shahada ya ualimu, inamchukua muda gani ili abadilishiwe Daraja...
Habari za wasaa huu wakuu natumaini mu wazima niende moja kwa moja katika mada.
Wakuu hii elimu kwa Sasa tunaweza tukaiweka level gani na elimu ya sasa, maana wazee walioipata hii elimu...
Naombeni msaada tafadhari namna ya kusearch na kuinstal friquency za radio kwenye television ili niweze kusikiliza radio kwa kutumia satelite dish
kupitia tv
Natumia dekoda ya star times
ushauri...
Wakuu habari zenu poleni na majukumu.
Ningependa niulize hivi uhamisho kwa mwanafunzi anayeenda kuanza kidato cha kwanza ingefaa nifanye mchakato kwa mda Gani je huu ndo mda wa kufuatilia wakati...
Inawezekana hapo juu sijaeleweka vizuri lakini fuatana nami utaelewa tu,
Shule moja hivi ipo Wilaya ya Kilindi Tanga... vijana waliohitimu mwaka jana wakifuata leaving zao wanakuta hazijakamilika...
KWENU WAHENGA : ETI DARASA LA SABA WA ZAMANI NI SAWA NA FORM SIX WA SASA ?
📌Leo nawauliza wahenga waliosoma zama hizo wakati elimu ya msingi bado haijapoteza msingi wake ule halisi wa kumwandaa...
Mimi ni kijana nimehitimu shahada yangu ya Bachelor of science with Education Geography and Biology mwaka 2018 nimeona nifungue fursa hii ili kuweza kupata kianzio ili badae nijenge kituo bora...
Ninaomba ushauri kwa waliosoma stashahada hiyo, kuhusu masomo na mitihani kwenye hiyo kozi.Nimechaguliwa kusoma ualimu wa masomo ya fizikia na biology, nimemaliza form four 2007.Baadhi ya watu...
Nimekuwa nijiuliza kulikoni PCB mtu anafaulu na AAB, BBB, ABB and the like. Kumbe ni mitihani level ya kidato cha PILI na kidogo cha NNE
Angalia biology -2020: Maswali ya form 2... kidogo form 4!
Wanajamii forum
Naombeni msaada tafadhalinii.
Nina shahada ya usimamizi wa Kodii nataka nikasome master kwa sasa hivii,
Naombeni kujuzwa naweza kusoma master ya nini kulingana na uhitaji wa soko...
Nimeona vyuo vinahitaji D pass in chemistry, biology , ni ya kweli haya? bandiko lenu naliweka mnakanusha. D kweli form 4 ni kumpeleka mtu kesho aje kutibu watu?
OLANDOTO COLLEGE OF HEALTH...
Habari wana jamvi
Mimi nimechaguliwa kusoma chuo course ya bachelor of science in education UDOM ila baada ya kufika chuo malengo yangu yalikua kusoma NURSING nmeulizia utaratibu wa kubadili...
Nacte wamefungua tayari, kwa wale wa diploma na certificate only na majibu nadhani yatakuwa yametolewa. Kwa elezo zaid tembelea nacte.go.tz
=====
Tayari posts za wale waloapply NACTE mwaka huu...