feraday10
Member
- Aug 30, 2020
- 34
- 19
Habari za wasaa huu wakuu natumaini mu wazima niende moja kwa moja katika mada.
Wakuu hii elimu kwa Sasa tunaweza tukaiweka level gani na elimu ya sasa, maana wazee walioipata hii elimu wanajisifia sana hata ukiwa na degree kwasasa unaonekana ufui dafu kwa mtu wa la nane (middle School).
Je, ni kweli ilikuwa bora sana kuliko elimu zetu za sasa hivi?
Karibuni wakuu tujuzane.