Msaada namna ya kusikiliza radio kupitia Tv

goodhearted

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
967
1,207
Naombeni msaada tafadhari namna ya kusearch na kuinstal friquency za radio kwenye television ili niweze kusikiliza radio kwa kutumia satelite dish
kupitia tv

Natumia dekoda ya star times
ushauri wenu kwa wenye ujuzi tafadhari
 
Kila Tv si ina radio zake mkuu ukiminya apo audio si inaleta Radio stations zilizopo ktk hio Tv au sijaelewa swari
 
Ndo nataka unieleweshe sasa, hiyo audio naibofya kwenye remote ya tv au king'amuzi? na hizo radio stations zinapatikana kupitia kingamzi au tv yenyewe??
 
Nakosa radio za Tanzania. Kila radio iliyopo ni ya nje huko kwa wachina na wazungu

Msaada jinsi ya kupata radio za Tanzania
 
Back
Top Bottom