Ninatamani nifanikishe ndoto yangu ya kuwa Mhadhiri

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
258
566
Ndugu zangu,

Mimi ni ndugu yenu nimemaliza chuo mwaka huu nina Degree ya Human Resource Management. Nimesomea Morogoro Mzumbe nina GPA ya 4.2.

Kwa muda mrefu nilikua natamani sana kuwa mwalimu wa chuo kikuu kwa hiyo natamani kupata mawazo yenu kwamba kwa jinsi gani nitaweza kufanikisha ndoto yangu hii.

Kwahiyo nifanye nini ili niifikie ndoto hii na sina connection yoyote.
 
Jisajili TaESA, then indicate your address kama ni Dodoma au Morogoro, then fuatilia chuo husika waambie unahitaji waombe internship then you can get it, then utafanya kazi kama TA then unasave hela unayolipwa then unaunga masters then inakua rahisi kupata kazi sasa ya u lecturer
 
Ongeza Degree ya pili (Masters)

Huwezi kupata hiyo kazi kwa qualification hizo, ongeza kitabu na upate uzoefu wa kutosha
 
Ndugu zangu,

Mimi ni ndugu yenu nimemaliza chuo mwaka huu nina Degree ya Human Resource Management. Nimesomea Morogoro Mzumbe nina GPA ya 4.2.

Kwa muda mrefu nilikua natamani sana kuwa mwalimu wa chuo kikuu kwa hiyo natamani kupata mawazo yenu kwamba kwa jinsi gani nitaweza kufanikisha ndoto yangu hii.

Kwahiyo nifanye nini ili niifikie ndoto hii na sina connection yoyote.

Soma PhD kabisa. Achana na masters. MaPhD mahitaji bado ni makubwa kwenye taifa letu.
 
Ndugu zangu,

Mimi ni ndugu yenu nimemaliza chuo mwaka huu nina Degree ya Human Resource Management. Nimesomea Morogoro Mzumbe nina GPA ya 4.2.

Kwa muda mrefu nilikua natamani sana kuwa mwalimu wa chuo kikuu kwa hiyo natamani kupata mawazo yenu kwamba kwa jinsi gani nitaweza kufanikisha ndoto yangu hii.

Kwahiyo nifanye nini ili niifikie ndoto hii na sina connection yoyote.
Huna 'connection' yoyote? Umewezaje kutuma hii msg! Mfyuuuuu!
 
Back
Top Bottom