Raphael Thedomiri
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 442
- 728
Ninaomba ushauri kwa waliosoma stashahada hiyo, kuhusu masomo na mitihani kwenye hiyo kozi.Nimechaguliwa kusoma ualimu wa masomo ya fizikia na biology, nimemaliza form four 2007.Baadhi ya watu wamenitisha kwamba masomo hayo ni magumu na kwamba katika hiyo miaka 3, miaka 2 nitasoma masomo ya form five na six kisha mwaka 3 ndio nisome ualimu.kwa waliosoma kozi hizo za stashahada maalum ninaomba ushauri na mawazo yenu kwenye hilo.