Mitihani ya form 6-PCB: Ndiyo maana ufaulu unakuwa mkubwa

Nimekuwa nijiuliza kulikoni PCB mtu anafaulu na AAB, BBB, ABB and the like. Kumbe ni mitihani level ya kidato cha PILI na kidogo cha NNE
Angalia biology -2020: Maswali ya form 2... kidogo form 4!
A za biology huwa hazifikagi 30. Hakijabadilika kitu mwaka huu... Na kuhusu huo mtihani acha kupotosha kwa kusema ni kidato cha pili na nne.
Aliyesoma Biology level yeyote hapo ataelewa ninachokiongea
 
A za biology huwa hazifikagi 30. Hakijabadilika kitu mwaka huu... Na kuhusu huo mtihani acha kupotosha kwa kusema ni kidato cha pili na nne. Aliyesoma Biology level yeyote hapo ataelewa ninachokiongea
Nimesoma PCB hujazaliwa, you can imagine the ages I am talking about! Biology A level haiwi that much simple! Tafuta biology ya 1977....
 
mwaka huu ziko ngapi? Kuna watu wana BDC wamekosa MD.. can you imagine. Zamani na mitihani yake huyo alikuwa na ufaulu mkubwa sana kwa PCB
 
Nimesoma PCB hujazaliwa, you can imagine the ages I am talking about! Biology A level haiwi that much simple! Tafuta biology ya 1977....
Yaani wewe ni limbukeni kikongwe! Sina haja ya kutafuta huo mtihani uliofanya.. Haina maana.
Let's do this, nikuulize umejuaje huo mtihani ni mrahisi? Nikuulize baadhi ya maswali humo?
 
Cell organelles linaulizwa form ngapi?
Sote tunaijua Bios, haijawahi kuwa Ngumu kwa kuangalia.
Ila kaa chini sasa ujibu, wakusahishie ndo utajua hujui.
Sidhani hata kama anajua nini maana ya Biology. Achana nae huyo anatafuta attention...
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom