Mzigu Primary School- Nyakato Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzigu Primary School- Nyakato Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by fikirikwanza, Jun 25, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Je Mzigu taaluma inashuka, ada inapanda tuwaeleweje???

  ni kama sasa headteacher umeshindwa kusimamia walimu wako, unampotosha sana mmliki wa shule. Walimu wako hawafundishi, Kujumlisha tu maksi za wanafunzi imekuwa shida, Kupiga wastani wa mtoto nayo shida, Kulea wanafunzi napo tatizo, shule inakwenda wapi??

  Hawa walimu wanataka mishahara mikubwa kazi kidogo, headteacher na wewe kama walimu wako, unataka mshahara mkubwa huku husimamiii taaluma, inakuwaje???? Hivi inakuingia akilini shule ya kulipia kama mzigu halafu inataka watoto warudi tution??? (walipe tena masomo ya ziada) kufanya nini kama wanafundishwa darasani???? H/Teacher umeshindwa kusimamia shule jiengue waje wapiga kazi, au mpaka wazazi tuje juu, au mmliki wa shule akupige chini??? dalili ya mvua ndo hii tunachoka.

  Shule binafsi tuition ya nini??? mbona watoto sio welevu kama shule za Arusha??? mnacheza mchezo mchafu, hakika shule itakufaaaaaaaaaaaa.
   
Loading...