Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naombeni mnishauri kwa Matokeo haya ya kidato cha sita; Chemistry-E Biology-D Geography-D BAM-S
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Mwaka jana niliona fursa za kusoma nje nkaamua nijaribu kuomba, ila sikupata, pamoja na kuambatanisha vigezo vyote na documents kamili zilizohitajika. Mfano mzuri ni hizi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Naomba msaada kwa anayejua vizuri kuhusu degree ya law enforcement na kanuni zinazohitajika ili kusoma kozi hii, na ni wapi inapatikana tofauti na udsm. Mimi nasubiri matokeo ya...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Secret code ambazo ulikua uzijui kwenye simu yako [emoji350] Kuna Mambo mengi yamejificha ya Siri kuhusu simu zetu tunazozitumia lakini atuzifahamu hivyo tunazichukulia poa sana simu bila kujua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
NGAZI YA ELIMU (1) UFUNDI STADI (2) UFUNDI (3) VYUO VIKUU (4) UTAALAMU (5) ELIMU HAINA MWISHO 10 Shahada ya Uzamivu Shahada ya Uzamivu <<=== 9 Shahada ya Uzamili Shahada ya Uzamili...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Napataje salary slip jaman nimetuma picha ili mjue nilipo fikia kila nikijaribu kujisajir inagomaa inaload muda baadae inakata Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, nina mdogo wangu amemaliza chuo(degree),2019,ila kutokana kukosekana ajira, anahitaji akasomee kupamba maharusi, na mambo ya saluni ili afungue saluni ajipatie angalau hela...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu nataka kujiunga na chuo hiki mnamo mwezi wa 9 ikiwezekana, ushauri wenu tafadhali kuhusu ubora wa chuo hiki pamoja na uzuri wa course hii ili nisije nikaingia chaka.
0 Reactions
44 Replies
14K Views
Habari wakuu, Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada husika Wakuu naombeni msaada ili niweze kupata platform itakayonipa nafasi ya kunisajilia uwezo na kipaji changu cha kuimba ili kutengeneza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni mnufaika wa HESLB jambo lililonipelekea kuandika uzi huu ni kwamba sikuweza kusaini pesa ya meals and accommodation ya mara ya pili hii ni kutokana na kuwa na pesa ambayo binafsi niliona...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu jaman mi ni mwanachama mpya. Nilikuwa naomba kuuliza ivi wale wanaofanyaga uchunguzi wa udongo ni walisomea course gani chuo naombeni mnijuze hapo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kigezo cha mtoto mbaye amesoma private schools asipate mkopo si sahihi. Wazazi wengine wanakuwa wamestaafu, wameacha kazi, wamekufa etc, kutumia kigezo hicho ni kutowatendea haki. Au pia uwezo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za leo, Kama nilivyoelezea hapo juu, nahitaji ushauri wenu. Mimi nimaliza shule Mwaka 2019 lakini matokeo yalikuja mabaya, yaani nilifeli hivyo lengo langu lakutaka kurudia mtihani Mimi...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu habari ya majukumu? Tafadhali naomba kufahamishwa ni wakati gani hasa wa kufanya taratibu za kuomba mkopo wa HESLB? Je, ni mara tu baada ya kumalizika mitihani ya kidato cha sita au ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani nilikuwa naomba kuuliza dirisha la udahili kwa kozi za afya september intake kwa ngazi za stashahada na astashahada kwa mwaka wa masomo 2021/2022 litafunguliwa lini kwa vyuo vya serikali...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwani Ufaulu Kidato cha Nne ni Lazima ili Kusomea Ufundi? Kwa mfano, kijana anataka kusoma mafunzo ya ufundi (VTC/VETA/NTA Level IV): Kwa nini baadhi wanaweka masharti ya kwamba alete cheti cha...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau? Hivi Kwani Mwanafunzi anakaa miaka Mingi anasoma tuu mwisho anamaliza hana ujuzi? Kama zamani iliwezekana Kupunguza Madarasa kwanini Sasa hivi ishindikane? Elimu yetu Primary...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Everything is f*cked,a book about hope. Author Mark Manson. Je unakubaliana kwa kiasi gani na yaliyoandikwa humu. What are your opinions about this book?
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza nasoma Shahada ya jinsia na maendeleo hapa Dar es salaam. Naomba ushauri ni fani ipi ya ziada ambayo naweza kuisoma...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom