Naomba kufahamishwa muda wa kuomba mkopo HESLB

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,184
2,451
Wakuu habari ya majukumu?

Tafadhali naomba kufahamishwa ni wakati gani hasa wa kufanya taratibu za kuomba mkopo wa HESLB? Je, ni mara tu baada ya kumalizika mitihani ya kidato cha sita au ni baada ya katokeo kutoka?

Nitashukuru sana.
 
Mbona huwa inakuwa announced acha haraka , hzo pesa huwa haztoshi ,ok huwa ni wasita had mbelen huko , angalizo Kama unaenda jeshin acha taarifa zako zote muhimu kwa mtu yoyote wa muhim aliepo nyumbani.

Maranying watu wakimwaga jeshin huwa wanapshana na mchakato na wanabaki home kwa kukosa mkopo, yote Tisa Kama mnajiaeza kiuchumi jisomeshe kwa hela za home
 
Mbona huwa inakuwa announced acha haraka , hzo pesa huwa haztoshi ,ok huwa ni wasita had mbelen huko , angalizo Kama unaenda jeshin acha taarifa zako zote muhimu kwa mtu yoyote wa muhim aliepo nyumban , maranying watu wakimwaga jeshin huwa wanapshana na mchakato na wanabaki home kwa kukosa mkopo, yote Tisa Kama mnajiaeza kiuchumi jisomeshe kwa hela za home
nadhani jeshini huwa wanawaruhusu kuja kufanya appllications, all in all uko sahihi kuacha taarifa muhimu nyumbani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom