Wanaofanya uchunguzi wa udongo wanasomea course gani chuo?

Wanaofanya uchunguzi wa udongo wanasomea course gani chuo?

deemax11

Member
Joined
May 16, 2021
Posts
6
Reaction score
1
Habari zenu jaman mi ni mwanachama mpya. Nilikuwa naomba kuuliza ivi wale wanaofanyaga uchunguzi wa udongo ni walisomea course gani chuo naombeni mnijuze hapo.
 
Chek na website ya SUA hiyo kozi ipo.

- soil scientists
 
Habari zenu jaman mi ni mwanachama mpya. Nilikuwa naomba kuuliza ivi wale wanaofanyaga uchunguzi wa udongo ni walisomea course gani chuo naombeni mnijuze hapo.
Uchunguzi wa udongo ni mada pana na inainvolves fani nyingi depending na purpose ya huo uchunguzi. Kwa mfano uchunguzi wa udongo kwa ajili ya kilimo si sawa na ujenzi, madini au mengineyo.
 
Back
Top Bottom